Holiday Greetings, Tuma salaam



Nawashukuruni sana kwa kukumbukana na kutakiana kheri, kwa kweli inapendeza sana.

Na mimi pia nawatakieni nyote afya na baraka tele kipindi hiki cha sikukuu na katika maisha yenu ya kila siku
 
Nawashukuruni sana kwa kukumbukana na kutakiana kheri, kwa kweli inapendeza sana.

Na mimi pia nawatakieni nyote afya na baraka tele kipindi hiki cha sikukuu na katika maisha yenu ya kila siku

pamoja sana ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, shukrani
 
KikulachoChako asante sana kwa salamu,
Karibu kwetu huku maisha plus ili tule wote sikukuu.
 
Last edited by a moderator:
Asante sana dada mwallu mie penda sana wewe my sis.Unajua nakupendaga Kaizer?Thanks kwa wish nyingi ulizonitumia.My bibi mamafacebook mie penda sana ila babu yangu halisi ni nani?.Mwaka huu na mie nitaendesha BMW kwani wema ana nini kunishinda mie?Najua utatimiza ndoto yangu Mr Rocky.Na hata kama haujaniwish mie nakuwish aibu uone wewe MO11
 
Last edited by a moderator:

Hivi Honey Faith why why why mr jamani?
 
Last edited by a moderator:

aiseee......!!!
hapa ni full miaibu
kukusahau wewe member wa #teamAibuNaonaMimi
 
Last edited by a moderator:

ahsante kwa salamu mpnz. fanya fanya mambo sikukuu hii mivuto yetu isichachie home.
 
Last edited by a moderator:

Thank you my X.
 
Last edited by a moderator:
haya wafuatao ziwapate ...........Money stunna,dotwagu,Chimbuvu,Ritz,Warumi mzee wa ban,Simiyu yetu,Mutant gene(sijui kama yuko hai),miss strong,the big show na preta..wengine next year!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…