suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
Aaah wapi tutabanana
nani kasema nitahakikisha nabana hadi penalty
Aaah wapi tutabanana
salam zimfikie kiwatengu sambamba na mkewe shansarie, MziziMkavu 1st AID I miss u so much.............!! Asprin tuanze ukurasa upya....aahhha lol..... mjukuu wangu Honey Faith nakupenda sana Khantwe popote ulipo zikufikie Mentor hope huko uliko salam umezipata Mafikizolo mumie salam hizoooooooooooooo leo tunajiexpress na salam tu HARUFU Ntuzu nimekumiss warumi binamuuuuuu kabanga pokea salam zangu
na wewe mtoa uzi pia salam za kukutakia mwaka mpya na heri ya krismas zikfikie
wenu
mamaafacebook
salamu spesheli ziende kwa mke wangu wa kwanza Madame B
na michepuko yangu yote miss chagga japo anajifanya hanioni
AmKATRINA huyu ndio hadi nakaribia kumsahau sura yake
Na wengine ambao wapo njiani
miss neddy japo utafiti anabana ila ataachia tu
tinna cute huyu nitamuelezea kwa urefu
masai dada ile zawadi yako nakuwekea kwenye freezer kama ulivyoniambia
sister Khantwe wewe utachagua yupi uanze kumuita wifi ila usijali ni maendeleo madogo tu
Mafikizolo kiukweli mpaka leo napata tabu kugundua jinsia yako ukipenda niambie
mamaafacebook toto la kidigo hili aliyenichinjia baharini
shemejiiii zima taa Evelyn Salt
Tumboo popote ulipo.
Mke mwema Matege popote ulipo hata kama hunipendi mimi nakupenda
sister christine ibrahim hunajunalika ila nitakuja hivyo hivyo
#team pichazzz
mshana jr
Mr Rocky
utafiti
HARUFU
Tyta
muhuni tee_bag
watu8
bila kuwasahau #team _Aibu_Naona_Mimi
list itaongezeka hii
Nawashukuruni sana kwa kukumbukana na kutakiana kheri, kwa kweli inapendeza sana.
Na mimi pia nawatakieni nyote afya na baraka tele kipindi hiki cha sikukuu na katika maisha yenu ya kila siku
Nitakuwa mwendawazimu kama sio mwehu...kama nitajifanya nimewasahau wafuatao.. Viol MziziMkavu,ndugu yangu wa damu Mshana Jr....watani zangu wa ukweli miss chagga na pacha wake Matege.....bila kumsahau mtu mwenye hekima kuliko wote.. Tized.....salaam hizi pia ziwafikie maswahiba zangu Kimnana... mamaafacebook.. EvelynSalt.. tinna Cute... Mamndenyi christina ibrahim......ngoja nikaoge kwanza....nitakuja kumalizia baadae.....
Kwanza naomba unihakikishie usalama wangu.....ndipo nipange kuja huko...........KikulachoChako asante sana kwa salamu,
Karibu kwetu huku maisha plus ili tule wote sikukuu.
Kwanza naomba unihakikishie usalama wangu.....ndipo nipange kuja huko...........
Kama ni hivyo sawa maana si unajua maumivu ya kunyofolewa meno na kucha bila ganzi ni zaidi ya uchungu wa mama mjamzito anayejifungua..........Haaa, usijali, ni salama salimini kabisa.
Sorry dear nampendA kabanga
Asante sana dada mwallu mie penda sana wewe my sis.Unajua nakupendaga Kaizer?Thanks kwa wish nyingi ulizonitumia.My bibi mamafacebook mie penda sana ila babu yangu halisi ni nani?.Mwaka huu na mie nitaendesha BMW kwani wema ana nini kunishinda mie?Najua utatimiza ndoto yangu Mr Rocky.Na hata kama haujaniwish mie nakuwish aibu uone wewe MO11
Asante sana dada mwallu mie penda sana wewe my sis.Unajua nakupendaga Kaizer?Thanks kwa wish nyingi ulizonitumia.My bibi mamafacebook mie penda sana ila babu yangu halisi ni nani?.Mwaka huu na mie nitaendesha BMW kwani wema ana nini kunishinda mie?Najua utatimiza ndoto yangu Mr Rocky.Na hata kama haujaniwish mie nakuwish aibu uone wewe MO11
Hivi Honey Faith why why why mr jamani?
Na aibu ikupate......
Atiiii????unajua kizungu mie sijui.....
mkweee Kim nana nmepokea salamu kwa mikono miwili nakutakia sikuu njema pia ila untumie ka mpesa nimpikie mchumba ako pilau na beberu!!!
salamu zingine zimfike Preta popote alipo, binti mwenye mivuto yake Husninyo, Khantwe nawe nakusalimu!!!
wazee wa pm kwa pamoja nawasalimu na kaka angu asakuta same nakutakia sikukuu njema mwayego naomba zawadi....
Asante mume wangu kipenzi MO11....nakupenda sana mpenzi pia nampenda sana wifi yangu Khantwe.
Nami nitakuwa mchoyo wa fadhila endapo sitawatakia sikukuu njema wale waliokuwa wapenzi na waume zangu wa zamani.
Ruhazwe JR, Remote, Ben Saanane, Sumu, Arushaone, chili, Chimbuvu, Ruttashobolwa, Kimbweka....na niliowasahau.
Waume zangu wa sasa kule JLW, Shark na bacha
Pia napenda umtambue mpinzani wako mkuu TANMO....mume wangu huyo.
Wote hawa nawatakia mwaka mpya wa 2015 wenye mafanikio mema.
N.B
MO11 mume wangu naomba utambue mahawara hawaachani