Holiday Greetings, Tuma salaam

Holiday Greetings, Tuma salaam

fyooooooo!!!!! pambaaaafuuuu!!!!!
mgeni njoo mwenyeji apone ?
siji bora niende kwa mke mwenza Honey Faith

Salamu zangu kwako mke mwee!!!!

Asante sana mke mwenza.Nakukaribisha sana.Sijui unakulaga kondoo na bata maana ndio mboga za xmass......

Yani mke mwenza wewe ndio mwenye mapenzi ya dhati huwezi amini mdogo wangu miss neddy na mumewe utafiti hata kasalamu ka uongo na kweli????
 
Last edited by a moderator:
Asante sana mke mwenza.Nakukaribisha sana.Sijui unakulaga kondoo na bata maana ndio mboga za xmass......

Yani mke mwenza wewe ndio mwenye mapenzi ya dhati huwezi amini mdogo wangu miss neddy na mumewe utafiti hata kasalamu ka uongo na kweli????

Huyo muache dawa yake iko jikoni
 
Last edited by a moderator:
Asante sana Kim nana (Your such an understanding woman, keep it up)
Nawatakia mafanikio mema
gorgeousmimi (I miss those times)
nameless girl (thanks for making me a good person)
^^
Hahahaaaa yo joking...:becky:
Thanks for everything (You know what l am talking about, dont you?)
Nakutakia mafanikio tele miaka ijayo, MUNGU AKUBARIKI SANA.
LOVE UUUUUUUUUUUUUUU
 
salam zimfikie kiwatengu sambamba na mkewe shansarie, MziziMkavu 1st AID I miss u so much.............!! Asprin tuanze ukurasa upya....aahhha lol..... mjukuu wangu Honey Faith nakupenda sana Khantwe popote ulipo zikufikie Mentor hope huko uliko salam umezipata Mafikizolo mumie salam hizoooooooooooooo leo tunajiexpress na salam tu HARUFU Ntuzu nimekumiss warumi binamuuuuuu kabanga pokea salam zangu



na wewe mtoa uzi pia salam za kukutakia mwaka mpya na heri ya krismas zikfikie

wenu
mamaafacebook
 
Last edited by a moderator:
Asante sana Kipenzi chetu bibie Eshy m.s . Nikutakie nawe heri na baraka kichele. ukasherehekee sikukuu kwa amani pamoja na woote uwapendao. Mwaka 2015 ukawe mwaka wa kukumbukwa katika yale yoote unayoyaendea. Mungu akubariki sana.

NB: Mahari usisahau tunayaleta mwakani mwanzoni kabisa.

salamu ziwafikie wapenzi wangu wa nguvu Tyta , Mndengereko , utafiti , Tized,

ujumbe 'nawapenda sana'
nawatakia maisha mema na yenye amani tele 2015 inshaallah!...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom