Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Wii na wewe nini masikio yamekusimama mwone vile....
Si unajua navyokujali my wii sitaki usumbuliwe
Wii na wewe nini masikio yamekusimama mwone vile....
Honey Faith hebu fukua hukua page huko kabla utaona wish zangu
na kama bado naomba tena nikutakie msimu mwema wa sikukuu na mwanzo mpya wa mwaka ukawe wa amani na furaha kwako
Upende ukazidi kuendelea baina yetu MO11 azidi kupata wivu
yaani kirahisi hivyo...? tena hadharani...? mamaafacebook anajua...?
Honey Faith umeambiwa uachane na sisi, haya haina shida. MO11 na Sweet16 aachane na nani?? Nilisema wewe unahatari ukabisha....yaani na wewe Mr Rocky unakua kama utafiti kila napokanyaga nikiinua yeye anasiliba aisee
Honey Faith achana nao hawa
Nimekubali kushindwa
Kwani umezidiwaje...? fight back upate utakacho, chaweza kuwa kitamu, huwezi jua...
yaani na wewe Mr Rocky unakua kama utafiti kila napokanyaga nikiinua yeye anasiliba aisee
Honey Faith achana nao hawa
Honey Faith umeambiwa uachane na sisi, haya haina shida. MO11 na Sweet16 aachane na nani?? Nilisema wewe unahatari ukabisha....
UlionA vibaya my mjukuu
yaani na wewe Mr Rocky unakua kama utafiti kila napokanyaga nikiinua yeye anasiliba aisee
Honey Faith achana nao hawa
MO11 tatizo wewe umemjua Honey Faith juzi tuu wakati sisi tuko nae toka JF inaanza sasa sijui utasemaje
cc utafiti
MO11 tatizo wewe umemjua Honey Faith juzi tuu wakati sisi tuko nae toka JF inaanza sasa sijui utasemaje
cc utafiti
Mjukuu Honey Faith hebu nieleze na ww mumeo n yup hapa mbona sielew