Holiday Greetings, Tuma salaam

Asante sana mwanafunzi wangu mtukutu Kaizer, naomba mwaka ujao uwe pole darasani.
Asante kwa salmu zako zilizojaa unono kwa walimu wako.
Nami nakutakia mwaka mpya 2015 wenye mafanikio lukuki.

Njoo tu darasani, Ila usisahau ada.

Ada nije na cash au risiti? Halafu kama utukutu kanifundisha asakuta same ila ninastaafu sasa mwalimu wangu.
 
Last edited by a moderator:

Asante sana binamu yangu Mr Roky, nami nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sitawakumbuka mabinamu wengine akina Mwita Maranya na Eli79 bila kumsahau mashemeji watu8 na Erickb52.

Binamu yangu naomba nikutakie mwaka 2015 wenye mafanikio kwako.
Lamina
 
Last edited by a moderator:
hahahahahhaaaaaaaaaaaaaaa nitafurahije mie kupendwa raha jamani asikwambie mtu atiii

ila mm ndo naelekea bariadi kwa mkwe au tutakwenda sote bebiii?
Huko utapaweza? Safari ya huko unamaliza usafiri wa aina zote ndipo unafika! I.e Gari, boda boda, baiskeli unamalizia kwa mguu umbali wa km 100! Jiandae kujifanya mtoto wa kishua utakutana ugali kwa 'ngagani' ndo akili zitakuja!
 
hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa makubwa nimeweza kupanda milima ya kwetu nishindwe kutembea huko na kwa mwendo wa miguu nitashindwaje?

wewe kwetu siye ni milima kwa kwenda mbele unatembea milimani mpaka unachoka unajikuta uko hoi ukifika kileleni unafikiri mchezo
Huko utapaweza? Safari ya huko unamaliza usafiri wa aina zote ndipo unafika! I.e Gari, boda boda, baiskeli unamalizia kwa mguu umbali wa km 100! Jiandae kujifanya mtoto wa kishua utakutana ugali kwa 'ngagani' ndo akili zitakuja!
 
Mh, hapo sasa kwa kupanda milimani we lazima uwe mfuuuuuuuuupi, sijui kama nini!
 
hahahaha ungejua kuwa nimevuka inchi 9 wewe unipati hata kwa urefu wa aina gani labda uwe ngongoti hiyo picha ulioyoweka nayo mbaya kabisa toa hyo avatar hapo weka ingine
Mh, hapo sasa kwa kupanda milimani we lazima uwe mfuuuuuuuuupi, sijui kama nini!
 
hahahaha ungejua kuwa nimevuka inchi 9 wewe unipati hata kwa urefu wa aina gani labda uwe ngongoti hiyo picha ulioyoweka nayo mbaya kabisa toa hyo avatar hapo weka ingine
Haahahaaa, stop! Tuache kuchakachua uzi wa watu! Hapa nikutuma salamu tu!
 

Asante mume wangu kipenzi MO11....nakupenda sana mpenzi pia nampenda sana wifi yangu Khantwe.
Nami nitakuwa mchoyo wa fadhila endapo sitawatakia sikukuu njema wale waliokuwa wapenzi na waume zangu wa zamani.
Ruhazwe JR, Remote, Ben Saanane, Sumu, Arushaone, chili, Chimbuvu, Ruttashobolwa, Kimbweka....na niliowasahau.

Waume zangu wa sasa kule JLW, Shark na bacha
Pia napenda umtambue mpinzani wako mkuu TANMO....mume wangu huyo.

Wote hawa nawatakia mwaka mpya wa 2015 wenye mafanikio mema.
N.B
MO11 mume wangu naomba utambue mahawara hawaachani
 
Last edited by a moderator:

wife hujambo mama?
nimekumiss mpaka moyo unauma yaani.
hivi huyu Khantwe ni wifi yako kwangu au kwa kaka yako?
 
Last edited by a moderator:
wooow asante Madame B kwa kunikumbuka aisee nazan inshaalah nkifanikiwa kufika mwakan itabd tupige shoo moja ya kusameheana kwa yote ili hata mungu aeze pokea msamaha wetu kwa dhati hata kama ataandika dhambi lakn atajua tumesameheana toka moyoni ili uendelee kukaa lidaz kwa moyo safi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…