Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,711
Karibu sana home xmass hii
Athante thanaa....Ongeza kilo za Pilau tuu, usisahau togwa.
Karibu sana home xmass hii
Mkuu huu ugali wa mtama na matembele ya chukuchuku huuwezi......
Haya mtani wangu.....nikiibiwa hela sitalala bali nitakufa kabisa...................nashukuru mtani wangu wa ukweli,,, nakuombea msimu huu wa sikukuu uibiwe hela ulale mwanzo mwisho
Haya mtani wangu.....nikiibiwa hela sitalala bali nitakufa kabisa...................
Hizi salamu zangu kwanza kwa wake zangu AshaDii gfsonwin na DEMBA. Kisha nawatakia unywaji wa afya sikukuu hii Fidel80 Teamo Bigirita RR MwanajamiiOne Asprin KakaKiiza amu Khantwe ladyfurahia
Nawatakia sikukuu njema le mabebz wote wa hapa MMU wakiongozwa na super le mbebz masai dada, miss neddy kichunafk sister ICHANA mamaafacebook Ennie Eshy m.s Kim nana Honey Faith Evelyn Salt Husninyo Preta farkhina na super le mutindiz wote.
Bila kuwasahau ma super men wa hapa kina utafiti Tyta mnengereko Dark City mzee mwenzangu wa mwaka 47 moto ni ule ule, Arushaone Mzee wa Rula PakaJimmy Filipo asakuta same na wengineo.
Walimu wangu snowhite na Madame B nawakumbuka sana mwaka.kesho ntaanza form one.
Na mimi kwa hasira siinywi bali nasongea ugali......nitakununulia mbege za manyanyaso kijiji kizima kijue nimekupa mbege
Athante thanaa....Ongeza kilo za Pilau tuu, usisahau togwa.
Asante bebiiii ladyfurahia! Kwa upendo huu jamani ntazidisha mapenzi yangu ya kisukuma kwako!Salamu zangu ziwaendee mumy & daddy measkron , watu8 nashukuru kwa hekima zao kwa busara za kwa onyo zao hasa daddy kuna wakati alinikana lakini baadaye akanirudia mwanawe na kunisamehe kwa vituko nilivyomfanyia si unajua atena tunaoishi na madaddy karibu full kudeka,
Sitawasahau ndugu zangu wa ukweli waliofanya baraka na furaha kwangu kuwapa salamu za sikukuu njema na mwaka mpya mwema nao ni Passion Lady, charminglady na mumewe C6 , Lady doctor na mumewe Arushaone, sweetlady WiseLady, FirstLady1 na Focuslady Mungu awe nanyi awape baraka tele
Siwezi kuwa mwingi wa fadhila kuwakumbuka hawa wafuatao hasa mume wangu muuza ubuyu, mke mwenza Khantwe,
Marafiki wa karibu sana nami Ntuzu, kabanga, Mamndenyi, Mtambuzi, Paloma, Heaven on Earth, sister, mwallu, mshanajr, stevoh, KakaKiiza, MANI, Madame B, AshaDii, Mphamvu, Chabruma, Kaizer, miss neddy, Munkari, (ILA HUYU BABU MMMHM Asprin ODM,) madame X, Excel, miss chagga na wale w0te wanaofuatilia thread zangu humu mjengoni na kukoment kwa ujumla nawatakia siku kuu njema na mwaka mpya mwema Mungu awalinde na kuwabarikia na kuwaongezea mkose nafasi ya kuiviweka vingine.
Mmmmhhh swty... mamaafacebook mbona kasema anakuchukua...nalia mimi
Don't cry my babe! She won't take me!
Nyooo muangalie lia tu kwan machozi n kisima kua ukilia sana kitakaukaMmmmhhh swty... mamaafacebook mbona kasema anakuchukua...nalia mimi
Miss u mamaafacebook
binamu yaan hujui tu nilivyokumiss, sijui nifanyeje kiu yangu itulie....nipe njia!
Humpati ng'oooo...
Hebu acha kubishana na sisteri wangu wewe ni wa mimi