Msimu wa salam
Naomba nisitaje wing wala nini ila mchanganyiko maalumu wa watu
Nikianza na mtuma salam mkuu
Arushaone na wenzake akina
Erickb52 (mwambie aliyekuficha akupe japo nafasi ya kusalimia),
kiwatengu (pitia badi hata kijiweni upate banana baridi aise),
PakaJimmy,
Crashwise,
Blaki Womani,
Preta (safari hii dareda tunaenda wote aise ),
amu,
ladydoctor (umepotea sana siku hizi)
sweetlady, mwalimu wangu
gfsonwin,
lilyflower,
Kaunga,
King'asti (umemficha sana
Paw aise)
Lizzy (umepotea sana)
Binamu zangu
ladyfurahia,
Madame B,
Evelyn Salt,
Heaven on Earth (mwambie
grafani11 awe anatembelea na huku na salam awe anatoa) ,
miss chagga (aise we mchepuko wangu usimalize pesa zote sikukuu bado aise )
miss neddy (huvi kukuambia nakumiss ni kosa aise),
Khantwe (@ntuzu mwambie namsalimia na kumtakia sikukuu njema)
Marafiki zangu wa ukweli
BAK (mkuu heshima kwako na endelea na moyo huo huo) ,
Tized (dah kile kimbuzi kimekata kamba kikatoroka aise sasa sijui tunafanyaje),
utafiti (nasubiri kadi aise ya ile mambo yetu),
kabanga (we wala sihitaji kusema mengi unajua viwanja vyetu aise ila kuwa makini sana),
Kibo10 (aise huonekani bana),
Himidini (aise asante sana kunikumbusha na naisubiri sana ahadi yangu),
mwekundu na
Mentor (chezeni salama aise tukutane tena hapa January mwakani)
MO11 na
mshana jr (salam nyingi sana kwenu pamoja na
Tyta muendeleze jukwaa la mavitu kule aise)
The Finest na
AshaDii mmekuwa bidhaa adimu sana sijui mmepotelea wapi aise, baba paroko
Eiyer (sijui kama kundi liko salama)
Mashaxizo na
Excel salam nyingi sana kwenu.
Mamndenyi sijakusahau mtalaka wangu.
SnowBall na
snowhite mmepotea sana sijui hizo snow mwanzo wa majina yenu zimeyeyuka.
christine ibrahim salam zenu sana. Mkuu
Asprin msalimie pia na babu yetu
Dark City popote alipo na sijui
Bishanga ndo kapotea kabisa jukwaani.
Kaizer hivi bado uko mjini au
Nicas Mtei kashakupeleka chaka aise.
charminglady usisahaulike kwenye salam bana.
OLESAIDIMU popote ulipo pokea salam mkuu.
BATTO salama mkuu.
Mafikizolo salam nyingi mkuu na
mamafacebook usinisahau pia.
watu8 nafikiri mwakani familia itakuwa watu9 na sio
watu8 tena.
Mtambuzi tumekosa sana story zako za uchambuz.
Mndengereko usipotelee hivyo kijijini njoo na mjini bana.
Viol na wewe usipotee hivyo bana.
Honey Faith upo dear pamoja sana na
KikulachoChako.
afrodenz na
FirstLady1 sherehekeeni salama pia.
Chocs umemficha sana
Erickb52 na
Blue G upo salama aise msalimie na
mwallu na
asakuta same na
everlenk
Nisimsahau mke wangu pekee humu ndani
Dena Amsi ajue nampenda sana licha ya kuwa na mchepuko
miss chagga niko nae daima kama mke halali
Na wengine wote ambao sitaweza kuwataja nawatakia kila jema katika msimu huu wa sikukuu na tusherehekee kwa amani na kwa umakini wa hali ya juu.