Hoja za Waitara - Je, CHADEMA watajibu?

MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
15,553
2,000
Propaganda tu nilidhani ana nyaraka kumbe anatutuma kwa Gwajima!!

Anadai Mbowe ametapeli pesa za kampeni ilihali Waitara bado alikubali kugombea kupitia CHADEMA!!

Hvi tuhuma nzito hivi unadhani Dr Slaa asingezimwaga siku anasepa ama Zitto?

Dr Mashinji alikua katibu mkuu hajayasema hya sembuse hyu aliyekua subordinate tu.

Ifike mahala hawa waropokaji wafaiwe nyaraka kuthubitisha maana kma CAG anakagua mahesabu afu haoni huu ubadhirifu ila wanasiasa ndio wanauona basi nchi yetu ina matatizo mazito zaidi.

CCM jaribuni zaidi, Kma Dr Slaa alifeli sidhani kuna press conference ya kuivunja CHADEMA.

Kuna yule Naibu waziri alisema CHADEMA walimdhuru Lissu nashangaa polisi haijamuita kusaidia upelelezi na kosa la kuiba evidence eneo la tukio.
Ile press ilifeli? Hujui kilichotokea au mahaba yamepitiliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
6,864
2,000
Mtu anasoma tu karatasi ndio ushahidi? Kwanini asingerekodi maongezi ayapeleke dawati la jinsia ama tume ya maadili ama kamati ya bunge ya jinsia ili kina Mbowe washtakiwe??

Kelele bila ushahidi hazina maana, sijasikia hta mmoja akiomba uchunguzi zaidi ya kulalamika kuna wizi na unyanyasaji.
Kama unaamini Kelele bila ushahidi hazina maana, vivyo hivyo wanaodai kuwa "Uchaguzi huwa siyo huru" wasiishie kulalamika na kupiga kelele. Wapeleke ushahidi mahakama za ndani na hata nje kupata haki yao.
 
  • Thanks
Reactions: mmh

zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
11,484
2,000
Ile press ilifeli? Hujui kilichotokea au mahaba yamepitiliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Press ilifeli mkuu tulitegemea kura zingeshuka ila cha ajabu mpaka jimbo la Dr Slaa CHADEMA sio tu walizoa ubunge bali mpaka halmashauri nzima.

Hakuna Press iliyonipa presha kma ile na ya Zitto..... Kama damage haikufanyika kwenye ule uchaguzi basi hakuna press inayoweza.

Mkuu Dr Slaa alikua ana ushawishi kwa chama kizima kma vile Maalim seif wa CUF!! Lakini labda uniambie impact ya ile press ilikua ipi (At least kwenye uchaguzi ule)
 

paul sylvester

JF-Expert Member
Mar 18, 2020
1,125
2,000
M/kiti kanyaga twende, kwani uliwalazimisha wajiunge Wakati masharti yalikuwa wazi?

Watajuaje wewe ni mchaga? Kwako pesa ni Sawa na uhai?

Wakome kukufahamu, kama hawataki kukaa watoroke mara moja, kwani chama ni Chadema pekee

Hawajui kuwa wewe ni Wenger, kocha unayetengeneza wachezaji mbumbumbu na kwenda kuwauza Kwa bei Kali?

Tena ifikie mahali uitangaze Chama chetu kuwa ni Chama cha kibiashara, mtu yeyote anaruhusa ya kuingia Kwa masharti, ili badae kusije tena kukaibuka watu kutangaza mambo ambayo yapo wazi ndani ya Chama, ingawa Kwa sasa wewe ndio umechangia kukiua Chama ingawa bado wajinga wachache kupitia huruma yako kuwagawia vijisenti ili waendelee kukusafisha

Pesa bhana, inauwezo wa kugeuza kinyesi kuwa chakula, haya vijana wa M/kiti Tuendelee kusafisha tena hichi kinyesi ili mkono uendelee kwenda kinywani
 
  • Thanks
Reactions: mmh

barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
28,249
2,000
Mbowe ndio ameifikisha hapo ilipo CHADEMA kiasi hta Waitara ameshinda jimbo.

Watu shukrani hawana kwanni wasiondoke kwa amani tu mpka matusi? Mbona Dk Mashinji,Lowassa na Sumaye wapo kimya ilihali wanajua mazito ya pande zote mbili.

Angeleta Nyaraka ila propaganda bila uthibitisho sio jambo la kushabikiwa na mtu yeyote serious
Na sisiemu ndio imeifikisha chadema hapo ilipo walau inajulikana kidogo.
 

zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
11,484
2,000
Kama unaamini Kelele bila ushahidi hazina maana, vivyo hivyo wanaodai kuwa "Uchaguzi huwa siyo huru" wasiishie kulalamika na kupiga kelele. Wapeleke ushahidi mahakama za ndani na hata nje kupata haki yao.
Unajua hapa ndio tunatofautiana mtazamo. CHADEMA walishaita press 2010 na 2015 wakiwa na nyaraka kuonyesha jinsi NEC wanavyotangaza matokeo feki, ila mahakama gani utashitaki matokeo ya Urais? Hta Wenje na Kafulila walikua na nyaraka ni vile tu technicalities za mahakamani ziliwaangusha ila sio ushahidi per se ulikosekana!! Maalim mara ngapi anaonyedha nyaraka zenye sahihi kabisa kuwa kashinda? Je amewahi pewa haki yake?

2. Haya tufanye upinzani hawana ushahidi. Serikali yenye TISS, Financial intel unit, Tume ya maadili, NAO, TAKUKURU!! kweli wanashindwa kuomba nyaraka za hesabu za CHADEMA alafu waende nazo kwenye press kuonyesha hilo deni la 50M lipo credited kwa mbowe? Eti kamuulize Gwajima? Since when hearsay ni ushahidi.

Naamini angesema hvi Lissu leo hii angekua Kisutu kwa uchochezi na mngemdai uthibitisho ila nyie mkiropoka hamna wa kuwahoji. Naibu waziri wa Afya alidai Mbowe ndio ''kamuua'' Lissu, sasa kwanini polisi hadi leo hawamuhoji ili kusaidia kupata ushahidi?

Mkuu wewe ni mtu makini sana kuliko wana CCM Wengine humu, sitegemei ushabikie tuhuma ilihali burden of proof ipo kwa mtoa tuhuma.
 

zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
11,484
2,000
Na sisiemu ndio imeifikisha chadema hapo ilipo walau inajulikana kidogo.
CCM hii hii inayoogopa M4C na Operation sangara? Inayoogopa Bunge live kuona wanavyobanwa kwanini bajeti haijatekelezeka mwaka wa 5 huu kwa walau 70%?
Zamani ulikua unajitambua sijui nini kilikupata.... Madhaifu ya CHADEMA hayakifanyi CCM kuwa kisafi!!
 

crocodile

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
2,680
2,000
Mbowe hana haja ya kumjibu huyu akili zake zimehamia tumboni.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Unatoa majibu mepesi sana kwa maswali magumu. Kuna hoja zingine zina majibu mafupi lakini nazo zinakimbiwa. Mfano, jamaa anadai kuna kundi la wapendwa wa Mbowe (Wabunge) hawakatwi mchango kama wenzao. Kawataja kwa majina, Lissu,Sugu,Mdee,Bulaya, Heche...
Hawa wangejitokeza kusema kama na wachangia kama wenzao au la.
Hii mbona ni tuhuma rahisi sana kujibu lakini jamaa wanapiga kimya.,.
 
Top Bottom