Well said,congrats!Unajua hapa ndio tunatofautiana mtazamo. CHADEMA walishaita press 2010 na 2015 wakiwa na nyaraka kuonyesha jinsi NEC wanavyotangaza matokeo feki, ila mahakama gani utashitaki matokeo ya Urais? Hta Wenje na Kafulila walikua na nyaraka ni vile tu technicalities za mahakamani ziliwaangusha ila sio ushahidi per se ulikosekana!! Maalim mara ngapi anaonyedha nyaraka zenye sahihi kabisa kuwa kashinda? Je amewahi pewa haki yake?
2. Haya tufanye upinzani hawana ushahidi. Serikali yenye TISS, Financial intel unit, Tume ya maadili, NAO, TAKUKURU!! kweli wanashindwa kuomba nyaraka za hesabu za CHADEMA alafu waende nazo kwenye press kuonyesha hilo deni la 50M lipo credited kwa mbowe? Eti kamuulize Gwajima? Since when hearsay ni ushahidi.
Naamini angesema hvi Lissu leo hii angekua Kisutu kwa uchochezi na mngemdai uthibitisho ila nyie mkiropoka hamna wa kuwahoji. Naibu waziri wa Afya alidai Mbowe ndio ''kamuua'' Lissu, sasa kwanini polisi hadi leo hawamuhoji ili kusaidia kupata ushahidi?
Mkuu wewe ni mtu makini sana kuliko wana CCM Wengine humu, sitegemei ushabikie tuhuma ilihali burden of proof ipo kwa mtoa tuhuma.