Hoja ya Shossi juu ya sh. 500/- ya babu

Hoja ya Shossi juu ya sh. 500/- ya babu

Nadhani kukosa 500/ sio ishu.ishu ipo kwenye nauli ya kufika huko

nashindwa hata nianzie wapi!!!!!!! watu wanamsakama babu kwa kutoza sh 500/- me naomba miss judith na wenzako mjaribu kujiuliza maswali yafuatayo
je hao wanaotoza laki moja na nusu naulu hamuwaoni? ni nani aliyekosa hiyo 500/- akanyimwa huduma na babu? hivi mnaosema babu angeacha mtu atoe alichonacho na sio kupanga fixed price mnazijua principles na operation za demand and supply nyie? ni wangapi wangekuwa willing kutoa hata zaidi ya million moja na kupandisha gharama za kikombe? mnaona babu anawaibia sh 500/- eti me nawaomba muende kwa dr ndodi mkatoe mamillion yenu ndio mtaona demand na supply ilivyo inflate gharama za matibabu za dr ndodi
 
Ndibalema;

Mimi kwa nafsi yangu siamini dawa ya babu kwa sababu hakuna visibitisho vya kisayansi na sina imani ya kutosha ya kupona kwa kikombe kimoja (kwa kuwa hujiambia reasons milioni kadhaa za kisayansi na hivyo imani yangu kudidimia)

But still mambo ya Imani na Mungu huwezi kuyakatia fatwa tu kirahisi. Babu inaweza kuwa anakosea kwa kutotangaza kuwa atampa huduma yoyote anaeihitaji japo atakaekosa hiyo 500. Mimi na wewe hatujui kama atawapa huduma au la, lakini hatutaki hata kumpa benefit of the doubt kuwa atafanya hivyo.

Note: Si ajabu kukosea, hata Manabii walikosea pia enzi hizo. Mosses alimpiga mtu akafa.

The Following User Says Thank You to Gaijin For This Useful Post:

Ndibalema (Today)​
 
Poleni sana wote mnaomshabikia babu.

Nawaona mmekimbilia avatar yangu kana kwamaba avatar ndiyo inayoakisi mwili na roho yangu.

Jamani avatar ni avatar tu na si zaidi ya hapo. Mi ni msichana mrembo sana mwenye umri wa miaka 26, figure namba 8, maji ya kunde na ni bikira. Sijawahi kuingiliwa na mwanaume awaye yote maungoni mwangu. Nimeyashinda majarinbu yote haya ya maisha ya leo kwa sababu ya nguvu zitokazo katika neno la msalaba. Signature yangu inasema kuwa mwili wangu ni mali ya Mwenyezi Mungu na mimi ninauchukua siku zote na kutembea nao kama dhamana tu. Nautunza na naamini siku moja Mungu atataka hesabu ya matendo yote niliyoutendea mwili wangu hadi siku ile aliyaomua kuniita.

Back to the pint, nataka kuwaasa kuwa:

1.
Mungu hakutuita katika furaha na anasa peke yake, bali pia katika shida na mateso na anataka tumuabudu na kumuamini katika hali zote hizo ili utumishi wetu usije kulaumiwa.

2.
Muijiza si ishara pekee kuwa Mwenyezi Mungu anatupenda na yuko katikati yetu. Mungu amedhihirishwa kwa NENO lake na imani yetu chanzo chake ni kusikia na sio KUONA MIUJIZA!

3.
Sadaka na mafungu ya kumi yaliwekwa enzi za makuhani walawi. Siku zetu hizi tunapswa kutoa kwa moyo na kwa kadiri tunavyojisikia mwenyewe. Hivyo mungu anayepanga kiasi cha kutoa ni mungu tofauti na Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo.

Mwisho nawaomba toeni ushahidi wa maandiko ama leteni sababu za kibiblia zinazohalalisa uganga huo wa babu, ama vinginevyo tubuni dhambi na kumrudia Mungu.

Mungu awabariki nyote

Glory to God

unatafuta mchumba au wenye bikra zao na upako hawana mapepe kama wewe
 
nashindwa hata nianzie wapi!!!!!!! watu wanamsakama babu kwa kutoza sh 500/- me naomba miss judith na wenzako mjaribu kujiuliza maswali yafuatayo
je hao wanaotoza laki moja na nusu naulu hamuwaoni? ni nani aliyekosa hiyo 500/- akanyimwa huduma na babu? hivi mnaosema babu angeacha mtu atoe alichonacho na sio kupanga fixed price mnazijua principles na operation za demand and supply nyie? ni wangapi wangekuwa willing kutoa hata zaidi ya million moja na kupandisha gharama za kikombe? mnaona babu anawaibia sh 500/- eti me nawaomba muende kwa dr ndodi mkatoe mamillion yenu ndio mtaona demand na supply ilivyo inflate gharama za matibabu za dr ndodi

Wewe hata huelewi nini kinachozungumziwa humu.
Nakushauri soma tena posts za watu walivyochangia kisha utoe comments zako tena.
 
Mi ni msichana mrembo sana mwenye umri wa miaka 26, figure namba 8, maji ya kunde na ni bikira. Sijawahi kuingiliwa na mwanaume awaye yote maungoni mwangu. Nimeyashinda majarinbu yote haya ya maisha ya leo kwa sababu ya nguvu zitokazo katika neno la msalaba. Signature yangu inasema kuwa mwili wangu ni mali ya Mwenyezi Mungu na mimi ninauchukua siku zote na kutembea nao kama dhamana tu. Nautunza na naamini siku moja Mungu atataka hesabu ya matendo yote niliyoutendea mwili wangu hadi siku ile aliyaomua kuniita.

wacha kujifagilia,kama ni bikira kila mtu aliwahi kuwa nayo.....itatoka km zilivyotoka nyengine ,nothing special about it....!

huyu Miss judith anajua dhambi ni kutolewa bikra tu, kumsanifu babu yeye anaona ni utukufu, UMENICHEFUA SANA LEO
 
Kwa hiyo mlitakaje hata mjue kuwa ya Mungu?
Ahame Loliondo kwenye dawa ahamie Dar? na wa Mbeya jee? Mwanza?

Yesu alivyopoza alipoza wa dunia nzima au wale waliokuwa karibu yake tu? Duniani hakukuwa na wengine wagonjwa wakati huo?

Ndio maana alichagua Mitume kumi na wawili, na wengine sabini akawatuma wawili wawili kwa vijiji na mataifa Mbalimbali.
Ndio maana mimi na wewe tusoma habari za Yesu kwa kina Yohana, Mathayo na Luka.
Ndio maana kina Petro, Yohana, Yakobo, Paulo, Barnaba walihubiri mpaka kwa mataifa mengine na mimi na wewe tunalisoma neno kwa sababu ya utumishi wao.
Ndio maana tukapewe uwezo wa kuweka mikono juu ya wagonjwa wapate afya, pale utakapomwamini Mungu kwa jina la Yesu. Na kuamini uweza wa uponyaji katika jina lake.

Luka 10:1-20 Basi, baada hayo Bwana aliweka na wengine, sabini, akawatuma wawili wawili, wamtangulie kwenda kila mji na kila mahali alipokusudia kwenda mwenyewe....................................

Kitabu cha matendo ya mitume chote kinaeleza jinsi mitume walivyofanya kazi, kina Stephano, na wenzie...........
Mark 16:15-18 Akawaambia Enendeni Ulimwenguni kote mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe, Aaaminiye na kubatizwa ataokoka,asiyeamini atahukumiwa, na Ishara hizi zitafuatana na hao waaminio, kwa jina langu watatoa pepo, watasema kwa lugh mpya, watashika nyoka, hata wakinywa kitu cha kufisha hakitawadhuru kabisa, wataweka mikono yao juu ya wagonjwa nao watapata Afya.
 
Hujanijibu bado. Alipoza watu wa dunia nzima? Au wengine walikosa huduma na walikufa na Mungu hakuwa fair kwao?

msitoke nje ya mada wapendwa! ubikira si mada ya kujadiliwa kwenye thread hii. najua mabikira ni adimu sana hapa duniani, hapa tunamjadili babu na sh. 500/- yake . please turudi kwenye mada

Glory to God
ubikira umeuleta mwenyewe hapa, sasa ukiwa na bikira unadhani una faida gani
 
Hujanijibu bado. Alipoza watu wa dunia nzima? Au wengine walikosa huduma na walikufa na Mungu hakuwa fair kwao?

Mkuu usipoteze muda wako hapa, tuhamie thread nyingine za maana tujenge nchi, kama ulikuwa hujui hapa unapigana vita na maslahi ya watu ambayo ndio chanzo cha wao kuwa bankrupt, hapa unashindana na wachungaji wanaoishi kwa kutegemea sadaka za waumini wao, sasa waumini wengi wapo kwa babu makanisa yamedoda hakuna cha sadaka wala fungu la kumi, kundi la pili unalopigana nalo wewe hapa bila kujijuwa ni la waganga wa nyota wapiga ramli na wale wanaojiita madoctor bila PHD hawa wanajiita watoa tiba mbadala, wapo akina Ndodi & co, ebu jiulize zamani kila wiki Dr Ndodi ilikuwa lazima aende Arusha kutoa tiba zake, je siku hizi imeshamsikia Ndodi akienda Arusha, kisa! Babu, je unadhani watu wa category hii watampenda babu? tumia akili yako ya kuzaliwa, wanaomponda babu wote ni puppets wa hayo makundi mawili niliyokwambia. over n out.
 
Kwa hiyo mlitakaje hata mjue kuwa ya Mungu?

Mungu ataka tuponywe roho kwanza ndipo baadae mwili, (matayo 6:33) tatizo linakuja babu (ambaye ni mchungaji) hafanyi hivyo? kama angesema yeye ni mganga wala kusingekuwa na tatizo.

zaidi Ahame Loliondo kwenye dawa ahamie Dar? na wa Mbeya jee? Mwanza?

Hapana ila masharti yake ya kwamba lazima uwe pale ili upate uponyaji yanasumbua kidogo. Mungu wa kweli hana mipaka na katika agano jipya Yesu alisema imekwisha (yohana 19:30) akimaanisha mambo ya torati (agano la Musa kwa wana waisraeli) limekwisha.

Baada ya hapo roho mtakatifu ndiye anaye tawala, ambaye hana mipaka na wala haina haja ya kutumia "media". Ndiyo maana hata mimi natatizo kuamini kwamba Babu anafanya hayo kutokana na maandiko.

Yesu alivyopoza alipoza wa dunia nzima au wale waliokuwa karibu yake tu? Duniani hakukuwa na wengine wagonjwa wakati huo?
Alipoza wale waliomsikiliza neno.

Au huduma na dawa hizi za hospitali hazijaletwa duniani kwa uwezo wa Mungu? Watu wamezileta wenyewe kwa uwezo wao?

Tofauti ya hapa mwalimu ni kwamba wanotengeneza hizo dawa siyo wachungaji/padre ni wanasayansi wao wapo katika kuponya miili tuu. Mtumishi wa mungu anatakiwa kuhubiri neno ili watu waponywe roho ndipo wapate uponyaji
 
Hujanijibu bado. Alipoza watu wa dunia nzima? Au wengine walikosa huduma na walikufa na Mungu hakuwa fair kwao?

Sijajibu swali lako kivipi Gaijini au hutaki tu kuelewa?
Ndiyo aliponya!!!
Na ni mpango wa Yesu wote wapone, hasa wale maskini, watoza ushuru, na wanyanganyi.
Ndio maana, alichagua mitume na kuwatuma huko alikowatuma.
By the way, mi sina vigezo vya kutosha kuandika kupinga huduma ya babu.
Mi ninamuomba Mungu, shauri lake lisimame,
Kama ni la Mungu litadumu.

Nashawishika sana kunyamaza kwa sababu huduma ya babu inamhusisha sana Mungu, na Wakristo wengi tena wengi ni KKKT na wakatoliki ndio tunaoshabikia sana hii. Wakati mwingine bila hoja za msingi. Wacha wakati uamue mambo!!!!
OMBENI!!!!!
Barikiwa.
 
Nilikuwa sijaelewa.
Nikuulize suala la niongeza basi. Unajua kuwa hadi miaka hii ya sasa kuna makabila ambayo hayajawahi kusikia Neno la Mungu. Hawa wameonewa na Mungu? (in the Amazon and other places)

Kama unakubali kuwa Neno halijafika huko, huduma ya Yesu utasemaje imeponya watu wote duniani?

Sijajibu swali lako kivipi Gaijini au hutaki tu kuelewa?
Ndiyo aliponya!!!
Na ni mpango wa Yesu wote wapone, hasa wale maskini, watoza ushuru, na wanyanganyi.
Ndio maana, alichagua mitume na kuwatuma huko alikowatuma.
By the way, mi sina vigezo vya kutosha kuandika kupinga huduma ya babu.
Mi ninamuomba Mungu, shauri lake lisimame,
Kama ni la Mungu litadumu.

Nashawishika sana kunyamaza kwa sababu huduma ya babu inamhusisha sana Mungu, na Wakristo wengi tena wengi ni KKKT na wakatoliki ndio tunaoshabikia sana hii. Wakati mwingine bila hoja za msingi. Wacha wakati uamue mambo!!!!
OMBENI!!!!!
Barikiwa.
 
Kwa maana ingine wale maskini wasiojiweza, na hawana uwezo wa kupata nauli wataendelea kuugua sio.
Huyu Mungu basi atakuwa na upendeleo, kwa sababu ukiangalia kwa haraka haraka, wanaohitaji hii tiba ni pamoja na lile daraja la chini kabisa, ambao hata kununua dawa za kinga/kurefusha maisha /kupunguza makali ya ugojwa, lishe bora nk ni shida kwao kupata.

Lakini hata nauli ya kusafiri kwenda huko ni hakuna, Matajiri na wenye uwezo ndio wanafanikiwa kwenda si ndiyo???
Huyu Mungu mwenye upendeleo namna hii mi simtaki!!!!

Ikumbukwe ni kikombe cha dawa ya babu ndio kinaponya hayo maradhi na pia ikumbukwe watu wanatakiwa waende huko loliondo na ndio nikasema kutokana na maelezo ya ndibalema kwamba wasio kuwa na TSHS 500 hawatibiwi au babu amesema kwa wasokuwanazo inakuwaje.

Nikajaribu kufikiri hivi mtu akasafiri kwa magari ya nauli isiyopungua TSHS 50,000/= kisha akafika loliondo samunge akasema sina TSHS 500 hapo hakuniingia akilini that is why nikasema obviously kwa yeryoyote atakayefika samunge atakuwa na hiyo TSHS 500/=

Wito wangu kwako usipende kujaribu kuona afanyacho babu si sawa mbele za mungu wakati hujapata maono ya kiroho na ukajaribu kutumia uelewa wa kidunia.

Ni mungu huyuhuyu aliyewataka wanawaisrael wamgeukie nyoka wa shaba wa MUSA pindi watakapoumwa na nyoka wataka kusema walewalioshindwa hawakupendwa na mungu hapo pia palikuwa na sharti, ni mungu huyuhuyu aliye waaambia watu imani yako imekuponya na sehemu nyingine aliwataka watu wajipake matope nasehemu nyingine aliwaambia wataka takasika tasika na wengine iliwabidi wakajichovywe mtoni tena kwenye maji macha je wasema hapa mungu alikuwa na upendeleo????????

Hivi leo nimlaumu mungu kwa kuwaacha ndugu zangu wafe kwa ukimwi na kisukari nawalikwenda kuombewa na hawakupona? nimlaumu aliwaacha wafe mapema bila kusubiri kikombe cha babu ambacho kinge waponya? Nami nije kusema mungu ana upendeleo?
Ni wangapi wamekufa kwa magonjwa kama malaria, ukimwi,pepo punda na mengineyo ina maana mungu ana upendeleo?
Ni mwenye imani yupi leo hii hanywi dawa ya malaria na kusubiri maombi na hupona? je mungu ana upendeleo maana dawa hazipatikani bure ati?
 
Kwani CPU, wewe unamwamini, kwa sababu tu alikuwa mchungaji??
What if asingekuwa Mchungaji wa KKKT akawa mchungaji wa TAG au padri wa Kikatoliki.
What if angekuwa Shekhe au mtumishi mwingine wa dini tofauti na Ukristo.
Mi sioni sababu za kumkubali kwa sababu ya historia yake ya uchungaji, tumkubali kwa sababu nyingine lakini siyo hiyo.
ILa mimi nasema Nitanyamaza kimya nitaomba, Cha Mungu Kitadumu, na kusimama tuuuuuuuuuuuu!!!

Basi maadamu mimi na wewe hatufahamu yaliyo moyoni mwake, na wala hatupaswi kumhukumu ili tusihukumiwe MUACHENI BABU AFANYE KAZI YAKE KWA WANAOAMINI WATAPONA KWA UWEZO WAKE ALIOPEWA NA MUNGU.
MUACHENI BABU AHUDUMIE WATU, MSIMZUSHIE YASIYO NA MSINGI KWAMBA ETI HATAWAPONYA MASIKINI, AU WASIO NA HIYO 500/- ALIWAHI KUTAMKA HIVYO???

ACHENI AFANYE KAZI YAKE BWANA, WASIO NA HIYO HELA WAENDE PIA TUONE KAMA HAWATAPEWA HUDUMA, SIO KUZUSHA TU
 
Ndio maana alichagua Mitume kumi na wawili, na wengine sabini akawatuma wawili wawili kwa vijiji na mataifa Mbalimbali.
Ndio maana mimi na wewe tusoma habari za Yesu kwa kina Yohana, Mathayo na Luka.
Ndio maana kina Petro, Yohana, Yakobo, Paulo, Barnaba walihubiri mpaka kwa mataifa mengine na mimi na wewe tunalisoma neno kwa sababu ya utumishi wao.
Ndio maana tukapewe uwezo wa kuweka mikono juu ya wagonjwa wapate afya, pale utakapomwamini Mungu kwa jina la Yesu. Na kuamini uweza wa uponyaji katika jina lake.

Luka 10:1-20 Basi, baada hayo Bwana aliweka na wengine, sabini, akawatuma wawili wawili, wamtangulie kwenda kila mji na kila mahali alipokusudia kwenda mwenyewe....................................

Kitabu cha matendo ya mitume chote kinaeleza jinsi mitume walivyofanya kazi, kina Stephano, na wenzie...........
Mark 16:15-18 Akawaambia Enendeni Ulimwenguni kote mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe, Aaaminiye na kubatizwa ataokoka,asiyeamini atahukumiwa, na Ishara hizi zitafuatana na hao waaminio, kwa jina langu watatoa pepo, watasema kwa lugh mpya, watashika nyoka, hata wakinywa kitu cha kufisha hakitawadhuru kabisa, wataweka mikono yao juu ya wagonjwa nao watapata Afya.

Hivi habari za kristo zilifika lini Tanganyika? yaani miaka mingapi baada ya kristo? Hapa ndo utakubali ya kuwa Yesu naye alifika na kuponya walio karibu yake kisha pindi alipokuwa anaondoka au alipojua siku zake za kurudi mbinguni zimefika akawaagiza mitume wasambaze habari za Yesu. Hatujui mpaka sasa je babu akifa itakuwaje? je atawarithisha au kuwafundisha watu?

Nimesikia Babu anataka kutafuta namna nyingine ya kuwapatia watu dawa kwa urahisi.
 
Basi maadamu mimi na wewe hatufahamu yaliyo moyoni mwake, na wala hatupaswi kumhukumu ili tusihukumiwe MUACHENI BABU AFANYE KAZI YAKE KWA WANAOAMINI WATAPONA KWA UWEZO WAKE ALIOPEWA NA MUNGU.
MUACHENI BABU AHUDUMIE WATU, MSIMZUSHIE YASIYO NA MSINGI KWAMBA ETI HATAWAPONYA MASIKINI, AU WASIO NA HIYO 500/- ALIWAHI KUTAMKA HIVYO???

ACHENI AFANYE KAZI YAKE BWANA, WASIO NA HIYO HELA WAENDE PIA TUONE KAMA HAWATAPEWA HUDUMA, SIO KUZUSHA TU

Ila tunatakiwa kuzipima roho (1 Joh 4:1 )
 
Ikumbukwe ni kikombe cha dawa ya babu ndio kinaponya hayo maradhi na pia ikumbukwe watu wanatakiwa waende huko loliondo na ndio nikasema kutokana na maelezo ya ndibalema kwamba wasio kuwa na TSHS 500 hawatibiwi au babu amesema kwa wasokuwanazo inakuwaje.

Nikajaribu kufikiri hivi mtu akasafiri kwa magari ya nauli isiyopungua TSHS 50,000/= kisha akafika loliondo samunge akasema sina TSHS 500 hapo hakuniingia akilini that is why nikasema obviously kwa yeryoyote atakayefika samunge atakuwa na hiyo TSHS 500/=

Wito wangu kwako usipende kujaribu kuona afanyacho babu si sawa mbele za mungu wakati hujapata maono ya kiroho na ukajaribu kutumia uelewa wa kidunia.

Ni mungu huyuhuyu aliyewataka wanawaisrael wamgeukie nyoka wa shaba wa MUSA pindi watakapoumwa na nyoka wataka kusema walewalioshindwa hawakupendwa na mungu hapo pia palikuwa na sharti, ni mungu huyuhuyu aliye waaambia watu imani yako imekuponya na sehemu nyingine aliwataka watu wajipake matope nasehemu nyingine aliwaambia wataka takasika tasika na wengine iliwabidi wakajichovywe mtoni tena kwenye maji macha je wasema hapa mungu alikuwa na upendeleo????????

Hivi leo nimlaumu mungu kwa kuwaacha ndugu zangu wafe kwa ukimwi na kisukari nawalikwenda kuombewa na hawakupona? nimlaumu aliwaacha wafe mapema bila kusubiri kikombe cha babu ambacho kinge waponya? Nami nije kusema mungu ana upendeleo?
Ni wangapi wamekufa kwa magonjwa kama malaria, ukimwi,pepo punda na mengineyo ina maana mungu ana upendeleo?
Ni mwenye imani yupi leo hii hanywi dawa ya malaria na kusubiri maombi na hupona? je mungu ana upendeleo maana dawa hazipatikani bure ati?

Mheshimiwa sana, mimi sina Vigezo vya kumkubali babu, wala kumkataa.
Namuomba Mungu, atuambie ukweli kuhusu hilo, Na Mungu atajitetea tu mwenyewe.
Angalia usije ukamkubali au ukamkataa kumbe unaikataa Neema ya Mungu.
Kuhusu hayo majibu hapo, juu nilikuwa namuuliza mheshimiwa CPU, kutokana ma maelezo yake,
Na nilikuwa najaribu kumjibu, Gaijin kile ninachokifikiria kuhusu swali aliloniuliza.
VITA VYETU SIO VYA DAMU NA NYAMA.
OMBA KWA BIDIII!!!!
 
mimi niko tayri kuishi na majaribu ya ukimwi na mengineyo sugu lakini sio kumkufuru Mungu kiasi hicho cha samunge. ee Mwenyezi Mungu naomba nisaidie

Glory to God

Bado hujapata kibano wewe cha magonjwa sugu.....watu huwa wanatafuta tiba mbadala kila tiba wanajaribu unaweza ambiwa kinyesi cha binadamu kinaponyesha ukatumia nacho imradi tu upate ahueni.
 
Back
Top Bottom