Kwaini tuna zunguka kote huko, wewe jitolee tufanye research, sisi wenywe ,kama unajiamini na hakuna Ukimwi basi ninaye rafiki yangu ana HIV , tukutane nimelete halafu tunyonye damu yake na tukudunge wewe halafu uishi bila kufanya lolote na hata kunywa dawa tuone kwa uhakika uta kuwa salama au la si Ukimwi hakuna .Mkiishiwa pointi huwa mnakilimbila kusema hio kauli, "jidunge sindano yenye damu ya mwenye ukimwi kama huamini". Na si ww tu bali wote mnaoabudu ibada ya ukimwi. Na mkiona mtu hana na mwenza ni +ve utasikia hua anamwandaa vizuri. Yani kama wapiga ramli vile. Sasa mm hua najiuliza kwa hiyo wote wanaoambukizwa wanapewa damu mbovu au +ve wote wanafanya mapenzi bila kuandaana
Mdau hapo juu amekupa mfano mdogo tu, jaribu kumlowanisha mpenzi wako mwenye gono alaf chovya dudu lako tu uondoke. Baada ya siku mbili lete majibu. Sasa kwa nini ukimwi iwe tofauti wakati yote ni STDs.
Wake up you black person
Hivi unafikiri hili la kujidunga damu halijafanywa. Au unafikiri watu wanapinga kindezi tu. Ni utafiti umefanywa broo.
Nikupe assignment, tafuta habari za jamaa anaitwa Robert Wilner. Aliifanya hili hazarani kwa kujidunga damu ya mwathirika. Unajua nn kimpata kutoka kwa wamiliki ww mradi wao.
Kwa taarifa yako hii ni biashara tena inayolipa sana kwa wanaoimiliki. Hivyo hawako tayari kwa mamna yoyoye ile kuona kinyangaragata from no where kikijaribu kuiharibu.
Kuhusu kwanini mtu anapatwa na Gono haraka, Gono ni backteria unapo kutana na mtu mwenye bacteria hao , huingia kwnye uume kupitia mirija ya uume, na pale inapo ingia tuu, immunity huanza fanya kazi na kupambana nayo na ndi poa hapo kiashic ha hizo white blood cells huwawa na kutolewa ndio husababisha mtu kutoka usaaa . hivyo gonorea ni rahisi kuambukizwa kuliko HIV ambapo HIV mpaka damu zigusane, yani kuwepo na mchubuko na pia , inategemea na idadi ya virusi alivyo navyo muathirika yani Viral loads .
Haya lini nikutafute uje tukudunge sindano tufanye research yetu wenyewe?