tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,327
Aiaee aibu hii sasa [emoji3] [emoji3]Hahaha sawa mkuu heshima kwako ekebombo [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Aiaee aibu hii sasa [emoji3] [emoji3]Hahaha sawa mkuu heshima kwako ekebombo [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nilipoamkia we ndio umeenda kulala pale pale. Umesahau kuwa wakati nimelala pale nilijikojolea sasa ukimka watakwambia we ndio umeharibu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kichwa kichafu una mambo ww..sasa apo umetambua nn.??[emoji23] [emoji23]
Sawa bibiMwanamke kujiamini[emoji140] I'm sexy[emoji2] [emoji2]
Hish! [emoji15] [emoji15] [emoji15]Ng'ombe hazeeki maini ila anapwelepweta kinena.
Karibu JF.
bibi sasa unavuka mipaka, huyu uliyemtukana siye. hili halivumiliki, omba radhi plz plzYani wajukuu mna vijimaswali vya kihere here Ka bao la kwanza[emoji23] [emoji23]
Hahaha wewe nishajua tayari ni kabila pendwa dogo lake...[emoji23] [emoji23] [emoji23] sie tunasema Ekebombo [emoji23] [emoji23] huyu mkuu ameamua kuchekesha watu na id yake
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] sie tunasema Ekebombo [emoji23] [emoji23] huyu mkuu ameamua kuchekesha watu na id yake
Wapi weye?????Yawezekana sie ni majirani.
Echibhumbu more explaination please [emoji85] [emoji85] [emoji2] [emoji2]Hahaha! Echibhumbu.
Poooh!! mnato ndo habar ya mjin..ute ute wa nn tnaPooh angalia usijepepea na feni hilo tumbua lakooo maana ukianza kuzeeka ute ute unapungua
HahahahahaPoooh mm mwenyewe malikia wa uloziii
Poooh ajipange poooh
Hahahahaaa! Weka mbali na watotoEchibhumbu more explaination please [emoji85] [emoji85] [emoji2] [emoji2]
Mimi bado nacheka tu hapa mkuu.....Aiaee aibu hii sasa [emoji3] [emoji3]
Bibi na kikristo umo?ulisoma elimu ya mkoloni eeee na kina NyererePractise makes perfect.. Bb yako nna miuno ya feni..nlianza zoez tangu ujanani..kiuno iko ktatenguka vepe[emoji57]
Poooh bibi mbeya wewe pooohMunipe na mm ubuyu jamani nimjue gilesi
[emoji12] [emoji12] [emoji12] nimepigia mstari wewe pia naona kanda pendwaHahahahaaa! Weka mbali na watoto
Bibi nimekupenda bure[emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] PM kuko wazi nije tuyajenge?Practise makes perfect.. Bb yako nna miuno ya feni..nlianza zoez tangu ujanani..kiuno iko ktatenguka vepe[emoji57]
[emoji102][emoji102][emoji102]Nilipoamkia we ndio umeenda kulala pale pale. Umesahau kuwa wakati nimelala pale nilijikojolea sasa ukimka watakwambia we ndio umeharibu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Google language translator iyo mjukuu wngu..Bibi na kikristo umo?ulisoma elimu ya mkoloni eeee na kina Nyerere