Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Yan nimefurahii ..nilijua nipo peke yngu..asante kassie matata...nafikiri utakuwa matata kweli kama jna lako[emoji23]
Ndo nishakaribia kuja kula vinono vya jamii forum
Kila la kheri bibi mwenzangu.
Yan nimefurahii ..nilijua nipo peke yngu..asante kassie matata...nafikiri utakuwa matata kweli kama jna lako[emoji23]
Ndo nishakaribia kuja kula vinono vya jamii forum
Basi mi ndo ntayatambulisha...Home of great thinkers huku hakuna hayo mambo
Unasound kama mwenyeji kabisa ndugu yangu ila poa maisha yaendelee. KaribuBasi mi ndo ntayatambulisha...
Asanteee...ni vizuri kumbe sina kamba mguuni jamaniiiUnasound kama mwenyeji kabisa ndugu yangu ila poa maisha yaendelee. Karibu
Sijawahi kuona mtoto anazaliwa halafu anaanza kutembea.itoke wapi mjukuu wangu..
Aya mwaya...Kila la kheri bibi mwenzangu.
Ukistaajabu ya mgeni utaona ya Husnathebossladyngoja muda utaongea
hahha usinikumbusheUkistaajabu ya mgeni utaona ya Husnathebosslady
[emoji23] [emoji23] mwifwa , hujawai ona??? Kua uyaone mwanangu...ww bado mdogo ndo mana hujawai ona ukikua utayajua mengi mjukuu wangu...Sijawahi kuona mtoto anazaliwa halafu anaanza kutembea.
Tuambiane tu ukweli kama wewe ni mwenyeji ila umekuja kwa funguo nyingine haina tatizo, sio vizuri ukianza kutuhadaa.
Kwa muda niliopo humu ni rahisi sana kumjua mtu mgeni halisi na mgeni wa kuigiza.
Kila la kheri!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahha usinikumbushe
Sawa, kikubwa tuweke akiba ya maneno[emoji23] [emoji23] mwifwa , hujawai ona??? Kua uyaone mwanangu...ww bado mdogo ndo mana hujawai ona ukikua utayajua mengi mjukuu wangu...
Asante mjukuu, tour iyo ya wap tena mjukuuKaribu Granny... ukihitaji tour mjukuu wako nipo hapa.
halafu hii ilinipata ujue mdog wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata enzi hizo giLESI naye aliteka jukwaaa
Ya humu Jf... kukuonesha majukwaa.Asante mjukuu, tour iyo ya wap tena mjukuu
Yani wajukuu mna vijimaswali vya kihere here Ka bao la kwanza[emoji23] [emoji23]Zamani ulikuwa wajiita nani vileee
Tena ni wa BUKU SABA huyu!Haha hii ni kanzu mpya tu sheikh wa zamani
Umeona eeehhh.halafu hii ilinipata ujue mdog wangu