Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,213
- 80,141
Niungue mara ngapi bibi, ushaniunguza vinyweleo vyote.Ukiusogelea utaungua[emoji23] [emoji23]
Niungue mara ngapi bibi, ushaniunguza vinyweleo vyote.Ukiusogelea utaungua[emoji23] [emoji23]
Kule kwa mzee wa kuchonga meno.Wapi weye?????
[emoji736] [emoji736] [emoji736]Ikizu kaka
Atakua mzaramo huyoNaona kidogo kanda inaanza changamka..... [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Huyu bibi yetu pia isije kuwa from kanda maalamu
Bibi si uliomba mapovu lakiniAsante mjukuu....umenikaribisha vzur yan ..NO POVU[emoji23] [emoji23]
Poooh unajipa moyo utatenguliwa unoo hiloPractise makes perfect.. Bb yako nna miuno ya feni..nlianza zoez tangu ujanani..kiuno iko ktatenguka vepe[emoji57]
Ila inawezekana maana bibi mchangamfu kweli au mluguru.... [emoji12] [emoji12] [emoji12]Atakua mzaramo huyo
Ikizu sec nini?Umenikumbusha shule yangu ya miaka hiyo [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377]Ng'ombe hazeeki maini ila anapwelepweta kinena.
Karibu JF.
bibi anajua kutofautisha.Poooh!! mnato ndo habar ya mjin..ute ute wa nn tna
Mario hapana mjukuu...[emoji1] [emoji1]Karibu bibi ruksa kujichagulia mario humu ndani kwa ajili ya kukupa company
Habari wana jf!
Siku izi zama zimebadilika sana, hadi kina bibi tunajua na bdo tunaendelea kujifunza ktumia mitandao..
Mim n bibi wa mwendokasi,
Naomba mnipokee kwa mikono mi2.
Povu ruksa,nataka nikafulie [emoji23] [emoji23] .
Ujumbe..Ng'ombe hazeeki maini, nayawexa yote.
Nishakujibu angalia comment za juu kidogo dogo lake .....Ikizu sec nini?
HahahhKule kwa mzee wa kuchonga meno.
Bibi umeshazeeka mnato utatoa wapi w3e poooooh ute huo mpaka ubust na serenget lite poooohPoooh!! mnato ndo habar ya mjin..ute ute wa nn tna
Hahaha ana hatari sio kidogoIla inawezekana maana bibi mchangamfu kweli au mluguru.... [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Pooooh tabia ya kucheka uache jiran yake Ambiele poooohHahahahaha
Sasa bibi mario ndio wanaweza kazi tena naskia ile kitu kadri umri unavyosonga mbele huwa kunafunga zaidi kitu kama ya binti wa miaka 14 [emoji85] [emoji85] [emoji85]Mario hapana mjukuu...[emoji1] [emoji1]
Amna mboni kawaida tu...Mmmmmhhhh! Huyo babu nae shughuli anayo.
Huyu bibi bado namtafakari sijui akabidhiwe AsprinHahaha ana hatari sio kidogo