Hodi hodi humu!

007/Mrs.bond

Member
May 6, 2009
19
3
Za leo wandugu, nimefurahi sana kupata hii site baada yakudokezwa mamboz yake na lafiki yangu kipenzi. Natumaini tutashirikiana kwa kila jambo.

Pengine kwa kuanza ningependa kufahamu what are vampires, ni kweli hivi vitu vina exist hapa kwetu bongo au vipo nchi za wenzetu zaidi. Je kwa lugha ya kwetu ndo unaweza kusema popobawa ama! Asanteni kwa kunielimisha zaidi.

Mrs. bond
 
Karibu and what a nice name!!

So rafiki yako kakwambia kuwa vibwengo na vampires vinaweza kuwa answered JF ? What a friend indeed.

Karibu once again!
 
Karibu and what a nice name!!

So rafiki yako kakwambia kuwa vibwengo na vampires vinaweza kuwa answered JF ? What a friend indeed.

Karibu once again!

Asante sana kwa ukaribisho, nilikuwa tuu nauliza ili nipate kujua...mbona umkuwa mkali ndugu.
 
most welcome Mrs 007.
Dont foget that "Diamonds are women's best friend" hahah- hope you will have some for ur sisters here.
 
Karibu sana Mrs Bond, you only live twice :) feel at home and please share your knowledge and experience with JF. Welcome aboard
 
Karibu sana Jamvini Mrs. Bond, jisikie uko Home yani! Cha Msingi ujue Malengo ya Kuwa Hapa ni Kufahamu&Kufahamisha, Kujifunza&Kufunza.

Asante
 
Karibu sana 007/Mrs.Bond, wana JF tunaamini tutapata mazuri kutoka kwako.

Vamire nadhani kwa ligha ya kwetu mi 'MZUKA/MZIMU' swala la ku-exist or not hilo silifahamu!

Once again, kKaribu sana JF "The Home of Great Thinkers"
 
Unakaribishwa sana 007.

Sitalijibu swali lako maana si mtaalam wa mambo ya Vampires, LAKINI BILA SHAKA HUYO RAFIKI YAKO AMEKUFAHAMISHA KWAMBA, JJ haogopwi mtu kwa cheo, nafasi, vijisenti wala utaifa.

Tunataraji kupata mpya toka kwako zaidi ya vampires na vibwengo- karibu
 
Za leo wandugu, nimefurahi sana kupata hii site baada yakudokezwa mamboz yake na lafiki yangu kipenzi. Natumaini tutashirikiana kwa kila jambo.

Pengine kwa kuanza ningependa kufahamu what are vampires, ni kweli hivi vitu vina exist hapa kwetu bongo au vipo nchi za wenzetu zaidi. Je kwa lugha ya kwetu ndo unaweza kusema popobawa ama! Asanteni kwa kunielimisha zaidi.

Mrs. bond

Mrs.Bond
Karibu sana katika JF.
Habari za leo tunamshukuru Mwenyezi Mungu.
Habari za kwako na ulipo?
Nasi tumefurahi sana kubahatika kupata hii Site ya JF.Hongera sana kuwa mmoja wa mwanacham wake.Na shukrani iwe kwa rafiki yako kipenzi kwa kudokeza kwenye JF.

Naam matumaini yako ni yenye nguvu bila shaka tupo pamoja na tutashirikiana katika kila jambo la kheri yatakayompedeza Mwenyezi Mungu. na kwa sharti hii ushirikiano iwe wa ustaarabu tupu.

Nasi tunashukuru Mwenyezi Mungu kwa kukuelimisha kupitia sisi katika JF.
Ni matarajio yetu kuwa utanufaika zaidi na zaidi kupitia wanachama wa JF.

SASA TUNAINGIA KWENYE MASWALI ZAKO MIMI MCHANGO WANGU NI

SWALI YAKO YA KWANZ AKUHUSU VAMPIRES.ILI UPATE MAJIBU SAHIHI
KABLA SIJA FAFANULIA KUHUSU VAMPIRES NAOMBA UJIBU SWALI YANGU

MAJI ULIYOMWAGIKA INAWEZA KUZOLEKA KAMA ILIVYO KABLA YA KUMWAGIKA?

JIBU HII SWALI ILI NIWEZE KUFAFANULIA KUHUSU VAMPIRES KWA UFUPI.

NA SWALI YAKO KUHUSU POPOBAWA MIMI NAONA HII KISA CHA POPOBAWA NI UTAPELI YA WAGANGA WALIYOBUNI KURUBINI WATU ILI WENGI WAKIMBILIE MLANGONI MWAO KUOMBA MSAADA WAO NAO WAPATE MIPESA ZA KULA NYAMA NA MIKATE.

NATARAJI NIMEWEZA KUNUFAISHA NA MCHANGO WANGU JAPO KIDOGO.

SASA NASUBIRI KUHUSU JIBU LA SWALI YANGU.

KILA LA KHERI NA FANAKA IWE KWAKO
 
Za leo wandugu, nimefurahi sana kupata hii site baada yakudokezwa mamboz yake na lafiki yangu kipenzi. Natumaini tutashirikiana kwa kila jambo.

Pengine kwa kuanza ningependa kufahamu what are vampires, ni kweli hivi vitu vina exist hapa kwetu bongo au vipo nchi za wenzetu zaidi. Je kwa lugha ya kwetu ndo unaweza kusema popobawa ama! Asanteni kwa kunielimisha zaidi.

Mrs. bond

Karibu sana Mrs. James, tunategemea mengi sana toka kwako.

Vampire ni kama Maiti inayoaminika kufufuka toka kaburini usiku na kwenda kunyonya damu ya watu walioko usingizini. Lakini hizi ni ni Imani tu wala usiogope!!!!
 
Well come Mrs Bond

Never Say Never Again

kwa kifupi vampire don't exist here in tanzania and if the do then those are not as deadly as we see on the films...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom