Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,763
- 63,567
Hatari 😅Ngojangoja yaumiza tumbo.. Mchuzi wa umbwa unanywewa wa moto😂
Hatari 😅Ngojangoja yaumiza tumbo.. Mchuzi wa umbwa unanywewa wa moto😂
Hahaha..........kunapokuwa na mahusiano ya hivyo lazima ndoa yenu iwe imaraWifey yupo free Nami nipo free hakuna chaajabukujamba, sema wakiwepo watoto ndio inabidi kubana makebo
Hata mimi huwa najiuliza sana hili swali. Au ndo ile "hawavumi lakini wamo" 🤣Hivi kwanini ya kuachia hainuki kama ya kubana!?😀
Ati, makebo 😂🤣🤣Wifey yupo free Nami nipo free hakuna chaajabukujamba, sema wakiwepo watoto ndio inabidi kubana makebo
Basi tuseme KijambioAti, makebo 😂🤣🤣
dada Seran nashida nawewe PM naomba nifungulieAisee😆
kwelii😁Sio kweli😀🙌🏿🏃🏿
Utasikia wanasema "Kaushuta!!"Watu wa Mombasa walikuwa washenzi Sana kiipindi hicho.. Ukifika kwa mara ya kwanza utapewa vyakula vinavyotengeneza gesi kwa wingi kama mayai ndondo mtindi na karanga.. Na watahakikisha unashiba kweli kweli
Sasa ukiingia chumbani kupumzika wao wanajibanza chini ya dirisha lako na kusikilizia milio😂
Je utatoa stereo?
Je utatoa base !?
Je utatoa mixer!?
Je utatoa puu pwatapwata?🙆🏿♂🙇🏿♂🤣
Kila mlio walikuwq na tafsiri yake wajinga hawa🤣🤣🤣
Niamini mimi😎😜😷😷😷
Au tuseme jicho la tatu.Basi tuseme Kijambio
Mtindi na Njugu-mawe lazima uachie nuclear bomb alafu vilivyo vitamu sasaUtafiti unaendelea
Vyakula vinavyosababisha ushuzi au vijambo kwa wingi mara nyingi huwa na kiwango kikubwa cha wanga usiyomengeneka kwa urahisi (FODMAPs), nyuzi lishe (fiber), au salfa.
Bakteria wa tumboni wanapovivunja vyakula hivi, wanazalisha gesi kwa wingi.
Hapa kuna makundi makuu ya vyakula hivyo:
1. Jamii ya Mikunde na NafakaMaharage na Dengu: Zina aina ya sukari inayoitwa oligosaccharides ambayo miili yetu haiwezi kuimengenya, hivyo inaliwa na bakteria wa tumboni na kutoa gesi.
Njeo na Kunde: Zina sifa sawa na maharage.Nafaka zisizokobolewa:
Mfano wa mtama, ngano nzima, na mchele wa bown.
2. Mboga za Majani zenye SalfaMboga hizi zisipomengeneka kikamilifu hutoa gesi ya hydrogen sulfide inayofanya ushuzi unuke sana:Kabeji na BrokoliOna/Kitunguu maji na Vitunguu saumuKoliflawa (Cauliflower)
3. Matunda na Sukari mbadalaMatunda yenye sukari ya fructose: Mfano wa tufaha (apples), maembe, na pears.Sukari mbadala (Artificial Sweeteners):
Sukari kama sorbitol na xylitol zinazowekwa kwenye peremende au bigijii za sugar-free.
4. Maziwa na Bidhaa zakeMaziwa ya ng'ombe, Jibini (Cheese), na Mtindi: Watu wengi wana upungufu wa kimeng'enya cha lactase kinachovunja sukari ya maziwa (lactose). Hali hii inaitwa lactose intolerance na husababisha gesi nyingi na tumbo kuvurugika.
5. Vyakula vya Protini KaliMayai:
Yana kiwango kikubwa cha salfa (ndio maana ushuzi wake unanuka kama yai lililooza).Nyama nyekundu: Huchukua muda mrefu tumboni na kuzalisha gesi nzito wakati ikioza na kumengenika
LolsHata wanyama wengine nao wanatoa gesi (farting)
Useme mkiwa kwenye mahusiano mageni, mnaweza kumaliza hata miezi 6 hamjambiani
Wengine wanakuwa kwenye ndoa hata miaka 5 husikii wakijambiana, Kila mmoja anaubana 🙌
Kumbe na watu wazima mnaongeaga huu uchinga sometimes hahahahhWengine wanakuwa kwenye ndoa hata miaka 5 husikii wakijambiana, Kila mmoja anaubana😂😂