Hizi tafiti nyingine mmh..❗

Hizi tafiti nyingine mmh..❗

Well said Mzee mwenzangu. Halafu kingine ni kwamba enzi zetu, kutokana na teknolojia duni, tulitumia uwezo wetu wote kiwapata hawa wake zetu, imagine ili umuone binti umpendaye lazima urushe jiwe juu ya nyumba yao Ili atike, umuone kisha umkonyeze, pia ulikutana naye kisimani lazima uonesha una nguvu kwa kujitwisha ndoo kwa mkono mmoja, kubwa zaidi ni kwamba unapokwenda kutongoza unakuwa uko nondo haswa, unamwaga points za kutosha hadi unaeleweka.

Siku hizi mke anapatikana TikTok, kweli! Halafu watu hata hawatongozani kwa hoja 🤔 dah! Kwa hali hii lazima mtu aogope kulipua bomu mbele ya mwenzi wake.
Hata Ile ladha haipo tena

Kuna ladha unafeel unaporusha ndoana na mrembo anakuzungusha miezi kadhaa anakwambia nakufikiria

Kunapokuwa na urahisi huu wa kutongozana, kunapelekea kuwa na urahisi pia wa kuachana

Nakumbuka tukio la kumwimbisha bidada mmoja, alinirusha miezi 8

Siku nakuja kupewa, ilikuwa mshike mshike 🤭
 
Itoshe kusema ambacho ni rahisi kukipata ni rahisi kupoteza/ kukiacha, kile kigumu kukipata ni kigumu kukiacha/ kukuacha.
 
Ila waafrika tunaona aibu kwenye vitu ambavyo Kila mtu hufanya. Kipindi fulani (mwanzoni mwa mwaka 48) hata mtu kusema choo anaona aibu, Mzee Grahams ni shahidi .

Tunashukuru siku hizi masuala ya choo popote yannasemwa hata kwenye vyombo vya habari bila watu kuona aibu.
Mchina hata mzungu hata kama mnakula au mko kwenye foleni bank kuwasikia wameachia tena shoes lile lenye base wao sio shida zao
 
Mchina hata mzungu hata kama mnakula au mko kwenye foleni bank kuwasikia wameachia tena shoes lile lenye base wao sio shida zao
Tatizo ni kwamba watanzania ukiwahamasisha wasione aibu kiachia ushuzi, wao wataanza kuachia kwa nguvu, yaani ni kama wanashindana 🤣

Akili za watanzania nazifahamu vyema sana!
 
Hata Ile ladha haipo tena

Kuna ladha unafeel unaporusha ndoana na mrembo anakuzungusha miezi kadhaa anakwambia nakufikiria

Kunapokuwa na urahisi huu wa kutongozana, kunapelekea kuwa na urahisi pia wa kuachana

Nakumbuka tukio la kumwimbisha bidada mmoja, alinirusha miezi 8

Siku nakuja kupewa, ilikuwa mshike mshike 🤭
Sipendagi usumbufu.. Sipendi kabisa kuambiwa njoo kesho😂 Nikifa usiku je.🙌🏿🤣
 
Tatizo ni kwamba watanzania ukiwahamasisha wasione aibu kiachia ushuzi, wao wataanza kuachia kwa nguvu, yaani ni kama wanashindana 🤣

Akili za watanzania nazifahamu vyema sana!
3eda186d-08a5-4c01-ac8f-cd8484e03bc7.jpeg
 
Hiyo ni nzuri sana, mimi huwa nawakubali sana wazungu kwa sababu mara nyingi hawana aibu.

Vitu vinavyomuhusu kila mtu wala si udhaifu.
Watu wa Mombasa walikuwa washenzi Sana kiipindi hicho.. Ukifika kwa mara ya kwanza utapewa vyakula vinavyotengeneza gesi kwa wingi kama mayai ndondo mtindi na karanga.. Na watahakikisha unashiba kweli kweli
Sasa ukiingia chumbani kupumzika wao wanajibanza chini ya dirisha lako na kusikilizia milio😂
Je utatoa stereo?
Je utatoa base !?
Je utatoa mixer!?
Je utatoa puu pwatapwata?🙆🏿‍♂🙇🏿‍♂🤣
Kila mlio walikuwq na tafsiri yake wajinga hawa🤣🤣🤣
 
Ila kwa ulaji wa kibongo bora tuwe tu tunaona aibu, imagine jitu limebugia michembe limechanganya na mafenesi, karoti, na pombe ya ulanzi halafu like na confidence ya kuachia shuzi 🙌

Nakuhakikishia kama kuna moto karibu mlipuko utatokea 🤣
Hivi kwanini ya kuachia hainuki kama ya kubana!?😀
 
Watu wa Mombasa walikuwa washenzi Sana kiipindi hicho.. Ukifika kwa mara ya kwanza utapewa vyakula vinavyotengeneza gesi kwa wingi kama mayai ndondo mtindi na karanga.. Na watahakikisha unashiba kweli kweli
Sasa ukiingia chumbani kupumzika wao wanajibanza chini ya dirisha lako na kusikilizia milio😂
Je utatoa stereo?
Je utatoa base !?
Je utatoa mixer!?
Je utatoa puu pwatapwata?🙆🏿‍♂🙇🏿‍♂🤣
Kila mlio walikuwq na tafsiri yake wajinga hawa🤣🤣🤣
Sasa fikiraia mnalishwa hivyo vyakula na kulazwa kwenye chumba kimoja, hapo mlio utakaotoka ni kombinesheni ya hatari sana utadhani Mbaraka Mwinshehe, Said Mabera, Said Comorien, na Bizman wanapiga ala zao.
 
Back
Top Bottom