Hizi tafiti nyingine mmh..❗

Hizi tafiti nyingine mmh..❗

Umesema ukweli. Ni ujinga kutangaza udhaifu wa mtu Kwa watu Ili wewe uonekane huna udhaifu huo.

Mara nyingi huwa nasikia watu wanatangaza wazi kuwa wenzi wao wanakoroma kama jenereta, dah!
Ni kukoseana heshima tu

Hawa ndiyo wamewaambukiza bibi zao kuona style nyingine nje ya Missionary eti ni dhambi

Yaani nashindwa kuelewa...😅
 
Ubaya wa kukoroma ni kwamba unaweza ukakoroma na hujui. Siku moja niliamka ghafla nikakuta nakorama, ndipo nikagundua kuwa hata wale wanaowasema wenzao kuwa wanakora huenda nao wanakoroma.
Ni sahihi kabisa,kuna kipindi nilipiga kazi mkoani mkoani miezi miwili non stop

Siku nimerudi home,ile mchana nilikoroma mpaka mama watoto akaja kuniamsha kwa maana ilikuwa sio poa

Ila kikawaida sikoromi labda nikiwa na uchovu sana

Ila nikiishi na mtu anayekoroma nahisi sitolala aisee
 
Waswahili tuna baniana sana,hata mashuzi nayo tunabaniana🤣🤣

Jirani na chumba changu cha kulala wanakaa Gen Z sogea tukae, nikamsikia baby girl anamwambia boy wake " baby umej..... "

Homeboy akamaindi akajibu "baby mbona unanikosea heshima"

Watu kama hawa hata wakae miaka 20 watakuwa wanaoneana aibu

ila binafsi sifanyi hivyo mbele ya mwenza wangu🤣🤣
Mapenzi yenye urafiki ndani yake huwa ni mazuri sana

Ni rahisi kuambiana mapungufu kupitia utani

Nahisi Mimi niko social, kwahiyo nimebahatika sana kupata mahusiano yenye hii ladha

Hata bibienu ameshanifanya mume rafiki, so we enjoy a lot
 
Ni kukoseana heshima tu

Hawa ndiyo wamewaambukiza bibi zao kuona style nyingine nje ya Missionary eti ni dhambi

Yaani nashindwa kuelewa...😅
Hapo umeonge na kunivusa mno!

Mke wangu hataki kabisa habari ya popo sijui kanyea mbingu, sijui mende kafanyeje huko.... Hii yote ni kutokana na tabia mbovu za wajukuu zake.

Imagine mimi na wife tunafanya tendo tukiwa tumenyooka tu japo kuwa styles mpya zipo, inauma sana 🥲
 
Ni sahihi kabisa,kuna kipindi nilipiga kazi mkoani mkoani miezi miwili non stop

Siku nimerudi home,ile mchana nilikoroma mpaka mama watoto akaja kuniamsha kwa maana ilikuwa sio poa

Ila kikawaida sikoromi labda nikiwa na uchovu sana

Ila nikiishi na mtu anayekoroma nahisi sitolala aisee
Ila kulala natu anayakoroma sometimes inakera, yaani ni kama anayakoroma anakudharau anavyokoroma.
 
Safi sana mkuu,unakuwa upo free sana
Ina saidia sana kwenye kuongeza miaka ya kuishi pamoja, maana ndoa Kuna Mikasa mingi ya kufanya zivunjike hasa kama hamna bond ya kuwafanya muwe pamoja

Hata mkitaka kujifunza jambo jipya, inakuwa rahisi

Mwisho wa siku mnakuwa vijana Kila siku pamoja na kula chumvi nyingi 🤗
 
Na hiyo huchangia sana mapenzi kudumu

Inasemwa sometimes kinacho wafanya wapenzi wadumu pamoja sio pesa au sijui kusimamia ukucha kama hawa wapuuzi wa 2000 wanavyoongopeana

Ni kuwa na kitu ambacho kinawaunganisha na kuwafanya siku zote mtamani kuwa pamoja
 
Well said Mzee mwenzangu. Halafu kingine ni kwamba enzi zetu, kutokana na teknolojia duni, tulitumia uwezo wetu wote kiwapata hawa wake zetu, imagine ili umuone binti umpendaye lazima urushe jiwe juu ya nyumba yao Ili atike, umuone kisha umkonyeze, pia ulikutana naye kisimani lazima uonesha una nguvu kwa kujitwisha ndoo kwa mkono mmoja, kubwa zaidi ni kwamba unapokwenda kutongoza unakuwa uko nondo haswa, unamwaga points za kutosha hadi unaeleweka.

Siku hizi mke anapatikana TikTok, kweli! Halafu watu hata hawatongozani kwa hoja 🤔 dah! Kwa hali hii lazima mtu aogope kulipua bomu mbele ya mwenzi wake.
 
Na hiyo huchangia sana mapenzi kudumu

Inasemwa sometimes kinacho wafanya wapenzi wadumu pamoja sio pesa au sijui kusimamia ukucha kama hawa wapuuzi wa 2000 wanavyoongopeana

Ni kuwa na kitu ambacho kinawaunganisha na kuwafanya siku zote mtamani kuwa pamoja
Umesema sahihi Mkuu, kunapokuwa na bond ndoa hudumu.

Kuna ndoa kutokana na bond iliyokuwepo, mume akisafiri hata siku moja tu, mkewe unakuta ameshammisi

Sio ndoa ambazo mume akisafiri, mke huku nyuma anashangilia kwamba yupo huru sasa

Ndoa za hivi, hata mwenza akifariki huyu anayebaki anashangilia kwamba afadhali msumbufu wangu ameshaaga Dunia 🥲🙌
 
Back
Top Bottom