Hizi tafiti nyingine mmh..❗

Hizi tafiti nyingine mmh..❗

Ila waafrika tunaona aibu kwenye vitu ambavyo Kila mtu hufanya. Kipindi fulani (mwanzoni mwa mwaka 48) hata mtu kusema choo anaona aibu, Mzee Grahams ni shahidi .

Tunashukuru siku hizi masuala ya choo popote yannasemwa hata kwenye vyombo vya habari bila watu kuona aibu.
Basi ni mimi tu ndio sina aibu, nitapoo hata kwenye first date😅
 
Ila waafrika tunaona aibu kwenye vitu ambavyo Kila mtu hufanya. Kipindi fulani (mwanzoni mwa mwaka 48) hata mtu kusema choo anaona aibu, Mzee Grahams ni shahidi .

Tunashukuru siku hizi masuala ya choo popote yannasemwa hata kwenye vyombo vya habari bila watu kuona aibu.
Nahisi ni wajapani kama sijakosea wanatoa gesi public fresh tu na wala hawawazi

Siku moja nikiwa maeneo ya Agakhan Upanga beach,nilikaa karibu nadhani na mjapani akaachia gesi fresh ila aibu niliona mimi yeye wala hajajishtukia
 
Walitoa hadi chupi zenye fleva tofauti yani unachagua wewe ukiachia ukaboni umfikie jirani yako kama harufu ya kitu gani
Iwe nanasi, Fenesi au pasheni yani ni wewe tu kwa raha zako.

Mzungu anakupendeni sana 😹
 
Juzi nulisikia (kwenye redio) kuwa mwanamke mmoja kule Scotland, amepata tatizo la kiafya baada ya kuzuia ushuzi kwa zaidi ya miaka 20 kwa sababu yuko na mwenza wake.

Nilichoka 🙌
Miaka 20 sio mchezo 🙌

Huyo aliolewa na Mwanaume asiyemfanya rafiki

Wale Wanaume wenzetu makauzu
 
Nahisi ni wajapani kama sijakosea wanatoa gesi public fresh tu na wala hawawazi

Siku moja nikiwa maeneo ya Agakhan Upanga beach,nilikaa karibu nadhani na mjapani akaachia gesi fresh ila aibu niliona mimi yeye wala hajajishtukia
Ila jamaa naye Katia fora 😅🙌

Wazungu, kwa kujua kuwa ushuzi upo na wanatamba nao, basi wakaamua wasiwe wanakula chakula kingi, usiku wanakula vitu vyepesi ili kuepusha mgurumo wawapo usingizini.

Halafu kitu kingine ni kwamba kama tumbo halijazoea chakula fulani basi mgurumo lazima ukukumbe tu! 😂
 
We mzee umeshindikana!!!
Nimeandika ukweli uliopo kwenye Jamii zetu

Tatizo letu Waafrika tunaongozwa na unafiki

Nilikuwa na rafiki yangu mzungu, hatukuwa wapenzi lakini alikuwa anajamba mbele yangu tena kwa nguvu tu

Wakati mpenzi wako wa Kibongo mnaweza kudate hadi mkaachana, usisikie akipumua mbele yako 🙌
 
Miaka 20 sio mchezo 🙌

Huyo aliolewa na Mwanaume asiyemfanya rafiki

Wale Wanaume wenzetu makauzu
Kwa hali ya sasa vijana wajifikirie sana kabla hawajaingia kwenye ndoa mkuu.

Watu wanatafita points mdogo mdogo ili siku wakiachana zitumike kama makombora ya kibalistiki.
 
Ila waafrika tunaona aibu kwenye vitu ambavyo Kila mtu hufanya. Kipindi fulani (mwanzoni mwa mwaka 48) hata mtu kusema choo anaona aibu, Mzee Grahams ni shahidi .

Tunashukuru siku hizi masuala ya choo popote yannasemwa hata kwenye vyombo vya habari bila watu kuona aibu.
Walau miaka hii kuna nafuu kidogo

Miaka ya 47 hali ilikuwa mbaya zaidi Mzee mwenzangu 😅
 
alafu hivi kwanini mwanamke ndo kiumbe huwa anajiachia kutoa hyo gesi mbele ya boy wake bila hata kugwaya? me npo kwa ndoa lakn huw najitahidi sana iwe kimya kmya either iwe night kali na sijajitambua hata wife anashangaaga sana iktokea nimefanya hko kitendo na akasikia.
 
Kwa hali ya sasa vijana wajifikirie sana kabla hawajaingia kwenye ndoa mkuu.

Watu wanatafita points mdogo mdogo ili siku wakiachana zitumike kama makombora ya kibalistiki.
Ni kukosa kifua tu

Kila mmoja ana mapungufu yake, haifai kuyatumia kuumizana

Mimi nikiona baby wangu ana hivyo viashiria, nitatafuta sababu nimkimbie hata kama Sina mbio kwa Uzee 😅
 
Nimeandika ukweli uliopo kwenye Jamii zetu

Tatizo letu Waafrika tunaongozwa na unafiki

Nilikuwa na rafiki yangu mzungu, hatukuwa wapenzi lakini alikuwa anajamba mbele yangu tena kwa nguvu tu

Wakati mpenzi wako wa Kibongo mnawejza kudate hadi mkaachana, usisikie akipumua mbele yako 🙌
Waswahili tuna baniana sana,hata mashuzi nayo tunabaniana🤣🤣

Jirani na chumba changu cha kulala wanakaa Gen Z sogea tukae, nikamsikia baby girl anamwambia boy wake " baby umej..... "

Homeboy akamaindi akajibu "baby mbona unanikosea heshima"

Watu kama hawa hata wakae miaka 20 watakuwa wanaoneana aibu

ila binafsi sifanyi hivyo mbele ya mwenza wangu🤣🤣
 
Ni kukosa kifua tu

Kila mmoja ana mapungufu yake, haifai kuyatumia kuumizana

Mimi nikiona baby wangu ana hivyo viashiria, nitatafuta sababu nimkimbie hata kama Sina mbio kwa Uzee 😅
Umesema ukweli. Ni ujinga kutangaza udhaifu wa mtu Kwa watu Ili wewe uonekane huna udhaifu huo.

Mara nyingi huwa nasikia watu wanatangaza wazi kuwa wenzi wao wanakoroma kama jenereta, dah!
 
Back
Top Bottom