Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,226
- 866,541
Unatoa gesi mara 32 kwa siku, Wanasayansi watengeneza nguo za ndani kuthibitisha hilo
bbc.in
Unatoa gesi tumboni mara 32 kwa siku, Wanasayansi watengeneza nguo hizi za ndani kuthibitisha hilo - BBC News Swahili
Sensa mpya inayovaliwa ndani ya nguo za ndani hukaa kwenye nguo yako na kunusa gesi unazotoa, kwa matumaini ya kubaini dalili zinazoweza kueleza afya ya utumbo wako.