Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,696
- Thread starter
- #21
Acha kuwa muoga wa kifo we utakufa tu hata uwe muoga vipi kifo huwezi kukimbiaUpo sahihi mkuu hiyo kwa Hali ya Sasa sio ya kuvaa ovyo ovyo unaweza kuuwawa maana binadamu wa CCM na SERIKALI yake wamekua kuwa wanyama