Ndugu zangu wana Jf,
Kwa sasa I am on the way kukamilisha my dream house kwa hatua ya kuweka /kufunga Gypsum board.
Nipo mkoani na SIPO DSM. Kwa makadirio ya fundi wangu ninahitaji GYSUM BOARD KAMA 75 HIVI. Kwa huku niliko hizi gypsum board za double elephant HAZIPO NA HAZIPATIKANI. KWA SABABU HIYO SASA NIMEAMUA NIFUNGE SAFARI NIJE DAR KWA AJILI YA KUPATA HIZO GYPSUM BOARD.
NAOMBA MSAADA WENU:
1. Kwa Dar wapi kuna hardware kubwa za jumla ambapo nitapata huo mzigo. Sihithaji tu gypsum board but I want a well quality Gypsum board - DOUBLE ELEPHANT
2. VIPI KUHUSU BEI YA HUKO DSM KWA HIZO GYPSUM BOARD?
NAOMBENI USHAURI WENU NA MSAADA WENU KWA YEYETOTE ANAYEFAHAMU HILI JAMBO!
ASANTENI