Kinachozuia watu kufikia Mafanikio yao

Mwl Mwakujonga

JF-Expert Member
Jun 29, 2023
286
582
Utangulizi

Nilipokua naanza kusoma biblia kama neno la Mungu niliposoma kitu cha Kwanza kabsa juu ya Baba zetu Adam na Eva nilichojua kilichopelekea wao kufukuzwa bustanini ni kutokutii maelekezo ya Mungu ya kula tundra la mti wa ujuzi wa Mema na mabaya.

Hata Leo ndivyp watu wengi wanaamini hivyo, kwamba Adam na Eva walitenda dhambi ya uhasi ndio maana walifukuza kwenye bustani ya Eden.

Mara baada ya kuendelea kujifunza maandiko Mungu akanifunulia kitu kambacho nataka nikushirikishe na wewe?

Kitu hicho ni kwamba kilichowaondoa Baba zetu katika bustani ya Edeni ni kosa la kulalamika? Ni kweli unaweza kupitia maandiko kama yalivyondikwa kitabu cha Mwanzo utakuja kugundua Adam alipouliza swali la Kula tunda alimtupia lawama Eva na Eva alipoulizwa akamtupia lawama nyoka na Mungu akawakasirikia na kuwafukuza.

Kwanini Lawama?

Mungu alipowaweka Baba zetu kwenye bustani alitaka kushirikiano nao katika uumbaji ndio maana Mwanzo tunaambiwa mwanadamu aliumbwa Kwa mfano wa Mungu.

Kitendo cha mwanadamu kumlalamikia mwanadamu mwenzake ni Sawa Sawa ni kumlalamikia Mungu juu ya uumbaji wake, ndio maana Mungu akuweza kuwavumilia Baba zetu Kwa kosa la kulalamika.

Unamkumbuka habari za Habakuki, kwenye kitabu cha Habakuki alipokuwa akilalamika juu ya mazingira ya nchi aliyokuwa Mungu akumjibu ndipo Habakuki akajua amekosa akaanza kuomba toba

Wanauza Israeli walipokuwa wakitoka misri kwenda nchi ya ahadi wengi wao hawakufika katika nji ya kanaani ni wawili Tu Kati ya watu 2 milioni ambao wakitoka misri walioingia misri , unajua ni Kwa sababu gani?

Wana waisraeli waliishia jangwani Kwa sababu walikuwa wakimlalamikia Mungu na walikuwa wanamjaribu Mungu juu ya uweza wake na uaminifu wake, kitendo hicho mbele za Mungu ni dharau kubwa Sana mbele za Mungu.

Hata Leo hii watu wengi wameshindwa kufikia ndoto Zao Kwa sababu ya kulalamika, kuna watu kazi ya ni kulalamika atalalamika juu ya wazazi wake , ooh wazazi wangu wangekuwa na uwezo ningekuwa sio hivi au wengine wanalalamika juu ya ugumu WA Maisha Yao Kwa serikali ,wengine wanalalamika juu ya kushindwa kwao Kwa kila sababu zaidi ya kujilalamkikia wenyewe kushindwa kwao.

Nimekua nikisoma habari na histori za watu ambao wamekuwa matajiri kuanzia dolla milioni 1 juu ya sifa Zao na nilishangaa Sana kwamba wengi wao hawakuwai kuzaliwa kwenye fedha au kutoka kwenye familia zenye fedha Ila cha kushangaza nilichobaini katika sifa Zao zinafanana.

Mafanikio ya watu wengi hayako katika kulalamika Ila yako katika kutafufa majibu ya malalamiko Yao? Unaweza kulalamika labda ujasoma ndio maana haujafanikiwa lakini kuna matajiri wengi nchii hii ambao hawakuwai kwenda Shule?

Unaweza kulalamika juu ya serikali kuna nchi ambazo hazina serikali na watu wamefanikiwa, unaweza kulalamika juu ya umaskini wa familia yako lakini wako watu wengi walikuwa maskini Leo ni matajiri sana.

Kulalamika kuna ua nguvu ya Mungu ndani yako, nguvu ya uumbaji umeumbwa Kwa Sura ya Mungu na Mungu ndiye Mwenye mali zote hizi, kama Mungu aliwafukuza Baba zetu kwakulalamika sisi je?

Unaweza kuwa umeomba Mungu juu ya kazi miaka na miaka lakini haujapata usilalamike rudi kwa Bwana mwambie Baba nimerudi najua kwako kuna kazi nyingi Mungu atakupa ya kwake.

Usijingize kwenye vikundi vya kulalamika, unapolalamika hata zile fursa ambazo zinakuzunguka hautaziona Kwa sababu wewe umeufundisha nafasi yako kulalamika.

Maandiko yanasema apamdacho MTU ndicho atakachokivuna, unachopanda malalamiko utakula malalamika, pia biblia inasema tumbo la MTU litashibishwa na maneno ya kinywa chake maana yake maneno yako yanakupa kula.

Malalamiko hayawezi kukupa kula ila yatakuletea tabu, biblia inasema shetani ni mshtaki wetu maana yake ni MTU ambaye kazi yake ni kupeleka malalamiko Kwa Mungu juu yetu hivyo ukiwa mlalamikaji unakuwa upande wake?

Mungu atusaidie tusiwe watu WA kulalamika Ila tuwe watu wa kushukuru na Ayo ni mapenzi ya Mungu Amina
 
Utangulizi

Nilipokua naanza kusoma biblia kama neno la Mungu niliposoma kitu cha Kwanza kabsa juu ya Baba zetu Adam na Eva nilichojua kilichopelekea wao kufukuzwa bustanini ni kutokutii maelekezo ya Mungu ya Kula tundra la mti WA ujuzi WA Mema na mabaya

Hata Leo ndivyp watu wengi wanaamini hivyo , kwamba Adam na Eva walitenda dhambi ya uhasi ndio maana walifukuza kwenye bustani ya Eden

Mara baada ya kuendelea kujifunza maandiko Mungu akanifunulia kitu kambacho nataka nikushirikishe na wewe ?

Kitu hicho ni kwamba kilichowaondoa Baba zetu katika bustani ya Edeni ni kosa la kulalamika? Ni kweli unaweza kupitia maandiko kama yalivyondikwa kitabu cha Mwanzo utakuja kugundua Adam alipouliza swali la Kula tunda alimtupia lawama Eva na Eva alipoulizwa akamtupia lawama nyoka na Mungu akawakasirikia na kuwafukuza

Kwanini Lawama

Mungu alipowaweka Baba zetu kwenye bustani alitaka kushirikiano nao katika uumbaji ndio maana Mwanzo tunaambiwa mwanadamu aliumbwa Kwa mfano WA Mungu

Kitendo cha mwanadamu kumlalamikia mwanadamu mwenzake ni Sawa Sawa ni kumlalamikia Mungu juu ya uumbaji wake, ndio maana Mungu akuweza kuwavumilia Baba zetu Kwa kosa la kulalamika

Unamkumbuka habari za Habakuki, kwenye kitabu cha Habakuki alipokuwa akilalamika juu ya mazingira ya nchi aliyokuwa Mungu akumjibu ndipo Habakuki akajua amekosa akaanza kuomba toba

Wanauza Israeli walipokuwa wakitoka misri kwenda nchi ya ahadi wengi wao hawakufika katika nji ya kanaani ni wawili Tu Kati ya watu 2 milioni ambao wakitoka misri walioingia misri , unajua ni Kwa sababu gani?

Wana waisraeli waliishia jangwani Kwa sababu walikuwa wakimlalamikia Mungu na walikuwa wanamjaribu Mungu juu ya uweza wake na uaminifu wake, kitendo hicho mbele za Mungu ni dharau kubwa Sana mbele za Mungu

Hata Leo hii watu wengi wameshindwa kufikia ndoto Zao Kwa sababu ya kulalamika, kuna watu kazi ya ni kulalamika atalalamika juu ya wazazi wake , ooh wazazi wangu wangekuwa na uwezo ningekuwa sio hivi au wengine wanalalamika juu ya ugumu WA Maisha Yao Kwa serikali ,wengine wanalalamika juu ya kushindwa kwao Kwa kila sababu zaidi ya kujilalamkikia wenyewe kushindwa kwao

Nimekua nikisoma habari na histori za watu ambao wamekuwa matajiri kuanzia dolla milioni 1 juu ya sifa Zao na nilishangaa Sana kwamba wengi wao hawakuwai kuzaliwa kwenye fedha au kutoka kwenye familia zenye fedha Ila cha kushangaza nilichobaini katika sifa Zao zinafanana

Mafanikio ya watu wengi hayako katika kulalamika Ila yako katika kutafufa majibu ya malalamiko Yao? Unaweza kulalamika labda ujasoma ndio maana haujafanikiwa lakini kuna matajiri wengi nchii hii ambao hawakuwai kwenda Shule?

Unaweza kulalamika juu ya serikali kuna nchi ambazo hazina serikali na watu wamefanikiwa, unaweza kulalamika juu ya umaskini WA familia yako lakini wako watu wengi walikuwa maskini Leo ni matajiri Sana

Kulalamika kuna ua nguvu ya Mungu ndani yako, nguvu ya uumbaji umeumbwa Kwa Sura ya Mungu na Mungu ndiye Mwenye mali zote hizi, kama Mungu aliwafukuza Baba zetu kwakulalamika Sisi je?

Unaweza kuwa umeomba Mungu juu ya kazi miaka na miaka lakini haujapata usilalamike Rudi Kwa Bwana mwambie Baba nimerudi najua kwako kuna kazi nyingi Mungu atakupa ya kwake

Usijingize kwenye vikundi vya kulalamika, unapolalamika hata zile fursa ambazo zinakuzunguka hautaziona Kwa sababu wewe umeufundisha nafasi yako kulalamika

Maandiko yanasema apamdacho MTU ndicho atakachokivuna, unachopanda malalamiko utakula malalamika, pia biblia inasema tumbo la MTU litashibishwa na maneno ya kinywa Chake maana yake maneno yako yanakupa Kula

Malalamiko hayawezi kukupa Kula Ila yatakuletea tabu,biblia inasema shetani ni mshtaki wetu maana yake ni MTU ambaye kazi yake ni kupeleka malalamiko Kwa Mungu juu Yetu hivyo ukiwa mlalamikaji unakuwa upande wake ?

Mungu atusaidie tusiwe watu WA kulalamika Ila tuwe watu wa kushukuru na Ayo ni mapenzi ya Mungu Amina
I'm Muslim Ila nakufatilia sana Una kitu kikubwa katika kuchakata maandiko ya biblia

Kulalamika ni kitu kibaya Sana katika MAISHA.

Ila kushukuru ndo njia bora yakuleta nguvu chanya katika maisha yako.
 
Hivi ni kuulize umejipiga biashara yako ni ya umeme alafu tanesco wanazingua umeme .nayo utasema ni mungu.
Kila siku nchi kuto kuendelea kwa hawa ccm nayo ni mungu au
 
Hivi ni kuulize umejipiga biashara yako ni ya umeme alafu tanesco wanazingua umeme .nayo utasema ni mungu.
Kila siku nchi kuto kuendelea kwa hawa ccm nayo ni mungu au
Hakuna biashara ambayo haina changamoto lakini changamoto katika biashara haziondolewi Kwa kulalamika zinaondolewa Kwa kutafufa njia mbadala maana zingine ziko nje ya uwezo wako kuna nchi huko Congo kuna vita na watu wanatakiwa kuishi na kuendelea na Maisha ya kila siku SASA wale wanasemaje?

Kuna nchi zina vita miaka na miaka lakini kuna maendeleo kunawatu wamefikia ndoto Zao licha ya changamoto zilizoko katika nchi, Kwa hiyo kulalamika ni maamuzi yako binafsi
 
Mungu huyo Aliumbaje binadamu wenye uwezo wa kulalamika?

Mungu huyo Alishindwaje kuumba binadamu wasio lalamika?

Huoni kwamba kazi ya huyo Mungu ina dosari na kasoro kwa kuumba binadamu wenye kulalamika?
 
Back
Top Bottom