Hii ni kweli imani ya upagani itatawala dunia?

Adrian2716

Member
Oct 23, 2023
98
287
MIAKA 30 MBELENI IMANI YA ATHEISM ITATAWALA DUNIA(upagani,kutoamini mungu)

Sababu kuu ni moja tu, mfumo huu wa maisha ya sasa utakuwa umepinduliwa na kuwa replaced na mfumo mpya.

Mfumo huu mpya utajibu maswali yote ambayo dini kuu mbili zimeshindwa kuyajibu.

Maendeleo ya sayansi na teknolojia ndio yatakayo fanya mfumo wa maisha ya sasa hivi upinduliwe na kuwa replaced na mfumo mpya.

NAMAANISHA NINI KUSEMA MFUMO WA MAISHA?

Ngoja nikupe mfano kidogo. Nakurudisha hadi kwenye bustani ya Edeni kabla Adam na Hawa hawajamuHasi mungu.

Kwenye bustani ya Edeni, Adam.na Hawa waliishi chini ya mfumo maisha ambao ulikuwa tofauti na mfumo wa maisha ambao waliuishi mara baada ya kafukuzwa kutoka Eden. Mfumo ambao ndio tunauishi mpaka.leo.

Kwenye bustani ya Edeni hakikuwa na

1. Kifo
2. Magonjwa.
3. Kula kwa jasho.

4. Kuzaa kwa uchungu.

5. Adam na Hawa wali exercise their full authority of each and everything that surrounded them.

5. Adam na Hawa walikuwa wanazungumza na Mungu physically. God the Almighty was physically visible from their point of observation.

6. Kifupi ilikuwa ni bata juu ya bata.

BAADA YA KUFUKUZWA EDEN:
ADAM na Hawa ,walianza kuishi maisha ambayo :

1. Walijua kuna kifo.

2. Kulikuwa na kuugua

3. Kuzaa kwa uchungu.

4. Kula kwa jasho.

5. No more physical contact with God.

6. Their authority over other creatures was a little bit shaken.

Tafsiri rahisi ni kwamba baada ya Adam na Hawa kuasi la Mungu, mfumo wao maisha ulibadilishwa juu chini. Walianza kuishi chini ya mfumo mpya ambao ilibidi wa u adopt.

MIAKA 30 IJAYO.

Kwenye Biblia imeandikwa kwamba siku atakayo kuja Yesu atashusha mbingu mpya na nchi mpya. Kwa tafsiri yangu Mimi hizo mbingu mpya na nchi mpya ni mfumo mpya wa maisha na sheria mpya za maisha zitakazo endana na mfumo huo mpya.

MAMBO MAWILI YATAFANYIKA

1. viumbe kutoka sayari na universes zilizo endelea kiteknolojia watashusha teknolojia yao kwa watu wanao ishi katika sayari .
 
Ni kweli kabisa nimeona Hilo jambo mimi mwenyewe hapa Tanzania siku hizi vijana wengi hawaamini tena uwepo wa Mungu. Hata vijijini mambo ni hivyo! Miaka 10 iliyopita ulikuwa huwezi kumkuta mtu anabisha wazi wazi uwepo wa Mungu.

Wanaoamini uwepo wa Mungu watabaki wachache sana wataonekana punguani wakubwa!
 
Kwenye bustani ya Edeni Adam na Hawa waliumbwa kwenye Mwili mmoja wakiwa 'wameungana' Adamu alikua upande wa kulia na Hawa alikua upande wa kushoto, Mungu akawapiga nusu kaputi ili afanye upasuaji akaweza 'kuwatenganisha'

Alichokiunganisha Mungu binadamu 'asikitenganishe', ushaelewa?

Ila Mungu 'aliwatenganisha' Adam na Hawa pale bustanini walipokua kwenye MWILI mmoja wakiwa 'wameungana' huku Adam na huku Hawa

Unanielewa vizuri lakini?

Mungu 'aliwatenganisha' Adam na Hawa pale bustanini maana waliumbwa kwenye MWILI mmoja 'wameungana' na Mungu aliona Adam anapata tabu anapotaka kumuona Hawa au alikua anashindwa kabisa kumuona Hawa ndipo akaamua awafanyie upasuaji na hapo ndio wakatokea watu wawili mmoja Adam na mmoja Hawa kutoka kwenye MWILI mmoja

Na tangia hapo Mungu hakuwahi kufanya operesheni nyingine ya 'kuwaunganisha' tena Adam na Hawa zaidi zaidi kupitia tendo la jimai au tendo la Ndoa hapo ndipo 'wanaunganisha' yai kutoka kwa Hawa na mbegu kutoka kwa Adam na kutekeleza uumbaji wa Mungu kwa maana nyingine wewe na Mimi ni Mungu wadogo tunaofanya uumbaji wa Mungu kwa kuunganisha miili yetu tena kwa mara nyingine kupitia tendo la Ndoa kinatokea kiumbe kingine

Unanielewa?

Nb: Hii ni kwa mujibu wa Biblia ya Wayahudi (Jews)
 
Ni kweli kabisa nimeona Hilo jambo mimi mwenyewe hapa Tanzania siku hizi vijana wengi hawaamini tena uwepo wa Mungu. Hata vijijini mambo ni hivyo! Miaka 10 iliyopita ulikuwa huwezi kumkuta mtu anabisha wazi wazi uwepo wa Mungu.

Wanaoamini uwepo wa Mungu watabaki wachache sana wataonekana punguani wakubwa!
Njaa kali huwezi kupinga uwepo wa Mungu bila kua na sababu zenye mashiko

Kwako Kiranga
 
Unaongeza nini?
Mke wa nnne huyu sasa ninaye, piga mshine tu, masharti ni simple, usipende vitu vitamu, kula tango moja na mayai mawili ya kuchemsha na maji glass nne asubuhi na sangara na boga na mboga za majani jioni,basi

Prof Janabi special
 
Ukila hivyo utatombewa mpaka uombe poo, wenzako wanagonga magimbi/mihogo na uji mzito sana asubuhi alafu usiku Ugali mgumu wa Dona na kisamvu cha Nazi akimkamatia mkeo huyo atakusimulia magoli
 
Nadharia ya Mungu haina mashiko kwenye ulimwengu wa sayansi na teknolojia
 
Kwa hio njaa kali imetoka wapi? Km Mungu hayupo kwanini kuna njaa?
Njaa kali ni second law of thermodynamics tu. Ukielewa physics ya second law ya thermodynamics inaelezea entropy ya closed system vizuri na jinsi gani kuepuka disorder kazi inabidi ifanyije na hiyo kazi inahitaji nishati na njaa kali ni 8ndicator ya nishati kwenye system tu.

Mwili ni system inayohitaji nishati ili kuendelea kuwa hai na kufanya kazi.

Nishati ni chakula. Njaa kali ipo kimfumo kukuwezesha kula na kupata nishati.

Mungu angekuwepo, angeweza kuumba mfumo ambao watu hawapati njaa na hawahitaji kula. Kama kula labda wapende tu.

Mungu hayupo, ndiyo maana njaa kali ipo na ukikosa chakula unakufa.

Mungu (kidhana) si mkatili hivyo kuumba ulimwengu ambao watu wanaweza kufa kwa njaa.

Watu wanaweza kufa kwa njaa kwa sababu Mungu hayupo.

Umeelewa hapo?
 
Back
Top Bottom