mwelagasiso
Member
- Jul 31, 2015
- 16
- 1
bado unasililiza hicho kituo cha ma DJ!
Hando ni tatizo,PJ mtu mwenye msimamo huwa anasoma bila ubaguz nahisi kuna shinikizo ndio maana leo hajaja,na mood yao ya leo ya usomaj tofaut kabisa.fredwar kapiga kimyaaa
Wale ni watangazaji au wahuni?