elphenomena
Member
- Jul 9, 2015
- 30
- 12
Jamani hata wasiposoma magezeti si yapo mnunue mkasome.
clouds tv,360Unasikiliza Clouds ipi? Mbona wanatangaza.
Clouds imenunuliwa na CCM!!!
Wale ni watangazaji au wahuni?
munasikiliza viradio kanjanja, mwanzo mpaka mwisho lugha za kihuni tu, sina huo muda mimi, tumeshasikiliza RFA na makopi mengine ninayo mkononi napeleka kwenye mgahawa wang kila anayetaka ajisomee, lowassa ndio mpango mzima
Gerald Hando kajishushia hadhi saaanaaa...nilikuwa namkubali ila kwasasa simukubali tena na kama anadhani atapata shavu la CCM basi imekula kwake
Sasa kama umkubali kwani wewe nani au wewe baba yake acheni mihemko ya kipuuzi
Inaonekana Ruge huwa anakufir... na WW pia si bure
Ni zaidi ya mwaka na nusu Sasa sijasikiliza magazeti Clous FM/TV