Taarifa ya maambukizi ya ukimwi kitaifa iliyozinduliwa na Jakaya Kikwete 27.march.2013 inaonyesha kuwa mikoa inayoongoza kwa maambukizi ya ukimwi ni Njombe[14.8%], Iringa[9.1%]
Mbeya[9.0%] Shy[7.4%] Ruvuma[7.0%] Dsm 6.9%.
Mikoa ambayo inaongoza kwa kuwa na maambukizi ya chini Lindi na Dodoma 2.9%,Tanga 2.4%, Manyara1.5% kutokana na ripoti hiyo Manyara ndio mkoa katika Tanzania bara ambao maambukizi yapo chini kuliko yote, Pemba 0.3%. masamakwetu Nilitegemea useme hao kwenye hiyo mikoa inayoongoza kwa ukimwi ndio mabingwa kuliko sisi wasambaa, kwa kuongezea tu ni kuwa huwa tunajali sana ....ndom
Mghoshi bhana acha hizo aisee
Wilaya ya Lushoto na Bumbuli kuna rate kubwa ya maambukizi ya VVU
Mi nimeishi kule kwa mwaka na nusu
Niliyojionea nayajua mwenyewe hali kwa sasa sio nzuri kule
Halafu wasambaa wanahitaji kujikwamua na kisomo aisee sijui kwanini watu wa kule hawazingatii swala la elimu
Katika utafiti wangu nimegundua wasambaa wa jinsia ya kike wana uwezo mkubwa kiakili kuliko jinsi ya kiume hiyo ni average.
Wanawake wa kisambaa ni wachapakazi sana Ila wanaume wavivu ,walevi wa BOHA[emoji23] .
Katika huo mwaka niliokaa usambaani hasa bumbuli nilishakula wasambaa kibao[emoji12] [emoji119]
Yaani wanawake wa kisambaa wa laini sana kutongozwa unampiga sound SAA 9 alasiri SAA 4 usiku kalala kitandani kwako[emoji3]
Sema wanajua kupenda fasta Ila wanaishia kuchezewa
Ila ni watamu aisee weupeee ngozi lainiii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hayo ndio niliyojionea usambaani.
Nenda na wewe ukajionea
Wagoshi msipinge[emoji15] [emoji16]