Hivi wanawake mkoje?

Hivi wanawake mkoje?

Hayo umesema wewe madam
Kila mtu ana namna ya ku reason kwa namna yake, labda kaniona mbabaishaji.
Nakupa siri ukitaka kumpata mwanadada mwaminifu aliyetulia nenda kanisani mwombe Mungu akuonyeshe aliye sahihi na upende kwenda kwenye maombi nauache azinaa
 
Nakupa siri ukitaka kumpata mwanadada mwaminifu aliyetulia nenda kanisani mwombe Mungu akuonyeshe aliye sahihi na upende kwenda kwenye maombi nauache azinaa
Asante mkuu ila si hawaombi hela hela kawa hawa wa huku?
 
Huyo karudi😂😂 sijui sijui
IMG_4345.jpeg
 
Tupe sifa zake akiwa binti alikuaje? Bila shaka huwez kujua kila jambo lake.
Ila mama angu alikuwa pisi sana, na hivi ni shombeshombe mwenye figure yake mpaka sasa...halafu aliolewa mapema sana at 17, I believe she was virgin at that age
 
Back
Top Bottom