Kubwjing
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 1,847
- 2,780
HIloo, kasoro Mama yanguWanawake wote ni malaya, wanatofautiana mbinu tuu
HIloo, kasoro Mama yanguWanawake wote ni malaya, wanatofautiana mbinu tuu
Ndio hatma yenuMtu unamwambia nitakuja next week mkoani tuonane tupange, siku hiyohiyo anakuambia halafu kuna biashara yake anafanya ila amestop kidogo
Sababu??? mtaji umeyumba......kesho yake asbh anakuuliza umekunya chai unamwambia ndio...
Ukikosea kumuuliza nawewe? Anakuambia hajanya hata
sababu??? Gesi imeisha🤣🤣🤣🤣🤣
Anakuwa amepata mfadhili na sio Mpenzi🤣🤣
Sasa ungemwambia yeye moja kwa mojaWe mtu hatujafahamiana vyema
Siku moja tu ndani ya masaa 5 unaomba Hela, buku tano ?
Sio kwamba hatuna pesa, ila hizi tabia dadeq , tunawaona matapeli nyinyi.
Basi angalau vuta time kidogo wengine tuna goals juu yenu ila mnakuwa wehu
Ni umasikini au?
View attachment 3457889
Tupe sifa zake akiwa binti alikuaje? Bila shaka huwez kujua kila jambo lake.HIloo, kasoro Mama yangu
Hakuna shida uje uchukue baada ya .....nihelp 200k dea
kama dea wa mtoa mada
michezo hiyoHakuna shida uje uchukue baada ya .....
Weka papuchi mbele chukua mpunga. There is no free lunch lazima ulipiemichezo hiyo
Si kila mtu atakuambia hakutaki ni utaombwa hela tu ukimbie mwenyewe, tena huyo kaomba hela ndogo wengine huwa wanataja hela nyingi na namba unafuta hapo hapo. JiongezeWithin 5 hours
Ni red flag
Sasa si kanipa namba mwenyewe bila kumfosi dadeqSi kila mtu atakuambia hakutaki ni utaombwa hela tu ukimbie mwenyewe, tena huyo kaomba hela ndogo wengine huwa wanataja hela nyingi na namba yake unafuta hapo hapo. Jiongeze
Mimi siwi na mtu asiyeona dhamani yangu woi buku 5 tu
Wanakuja wahusika kukupa ufafanuziWe mtu hatujafahamiana vyema
Siku moja tu ndani ya masaa 5 unaomba Hela, buku tano ?
Sio kwamba hatuna pesa, ila hizi tabia dadeq , tunawaona matapeli nyinyi.
Basi angalau vuta time kidogo wengine tuna goals juu yenu ila mnakuwa wehu
Ni umasikini au?
View attachment 3457889
Hawanaga mshipa wa aibuMtu unamwambia nitakuja next week mkoani tuonane tupange, siku hiyohiyo anakuambia halafu kuna biashara yake anafanya ila amestop kidogo
Sababu??? mtaji umeyumba......kesho yake asbh anakuuliza umekunya chai unamwambia ndio...
Ukikosea kumuuliza nawewe? Anakuambia hajanya hata
sababu??? Gesi imeisha🤣🤣🤣🤣🤣
Anakuwa amepata mfadhili na sio Mpenzi🤣🤣
Hafai kabisaWe mtu hatujafahamiana vyema
Siku moja tu ndani ya masaa 5 unaomba Hela, buku tano ?
Sio kwamba hatuna pesa, ila hizi tabia dadeq , tunawaona matapeli nyinyi.
Basi angalau vuta time kidogo wengine tuna goals juu yenu ila mnakuwa wehu
Ni umasikini au?
View attachment 3457889
Afadhali wanawake wanapiga mzinga. Wanaume akishakuona una hela anajifanya anakupenda wee, kumbe anakulia timing tu. Baadae anakutapeli kabisa!!Ajira hamna, kupitia mahusiano kwao ni ajira ndio maana mizinga mingi. Kama anakupenda kweli atakushauri namna ya kutafuta hela na si namna ya kutumia hela.
Aisome Nikifa MkeWangu AsioleweNa iyo buku 5 haujaombwa peke ako. Unakuta mmeombwa watu 15. Akitumiwa na watu 10 baadae anaenda zake kitambaa cheupe anatulia mezani na bucket ya savana kwa hela zenu ili wadau wakijileta wajue yeye ni expensive wapande dau kubwa
Wee unadhani mwanamke kukupa mawasiliano yako basi ana uhitaji na wewe? Achana nae angalia ustaarabu mwingine.Sasa si kanipa namba mwenyewe bila kumfosi dadeq
Mimi pia nimemwambia ila coca HAPOKEI MAONI YA WADAU.Rudisha basi Ile avatar yako yaani hii hata sijakutambua haraka. Ile iko very hot