Hivi wanawake mkoje?

Hivi wanawake mkoje?

Wewe akikuomba pesa we muombe mbususu basi
 
Hiyo kwa sasa ni kawaida sana mkuu😂
Kwenye 10 wawili au mmoja ndio hawana hivo tabia Cha muhimu ni....@Razorblade njoo unalizie hii😂🙌
 
We mtu hatujafahamiana vyema
Siku moja tu ndani ya masaa 5 unaomba Hela, buku tano ?

Sio kwamba hatuna pesa, ila hizi tabia dadeq , tunawaona matapeli nyinyi.

Basi angalau vuta time kidogo wengine tuna goals juu yenu ila mnakuwa wehu
Ni umasikini au?

View attachment 3457889
Na iyo buku 5 haujaombwa peke ako. Unakuta mmeombwa watu 15. Akitumiwa na watu 10 baadae anaenda zake kitambaa cheupe anatulia mezani na bucket ya savana kwa hela zenu ili wadau wakijileta wajue yeye ni expensive wapande dau kubwa
 
Hao ombaomba hata mzigo hutoa mapema tu tofauti na wasioomba.

(sizungumzii hao mnaokutana nao online)
 
Back
Top Bottom