Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 364
- 734
Hiyo elfu tano kumpa Wala hata sio shidaMkuu 5k kweli unaianzishia Uzi?
Shida haipo kwenye huyo mwanamke aliekuomba 5k, shida ipo kwako kuchukia Kuombwa hiyo Hela, ukumbuke saiv Wana mbinu kama hakutaki na anataka ukae nae mbali, anaanza vibomu,
Kingine jitahidi uwe unadate na mwanamke ambaye ata ukimwambia babe niazime 50k kesho ntakurudishia anakupa, ss unakuta mwanaume upo mabovu,unatafuta mwanamke nae choka mbaya nn unategemea?
Shida inaanzia hapa unampa hela Kama nani