Hivi wanawake mkoje?

Hivi wanawake mkoje?

5000 umeombwa, ni hela ya kuja kuanzisha uzi hapa?
Hiyo si hela ya lunch tu Kwa mama ntilie
( tuite chakula cha mchana)
Lunch wanakula huko Masaki.
Hizo ndo bei zake katambulisha we unaloloma huku
 
We unavoomba namba plus uchi unaomba kama nani
Sasa si muwe mnasema Kama na namba siku hizi mnauza

Na kama amekuomba uchi si unampa Bei yako mnamalizana kila mtu analala mbele

Kuliko kuanza kumpiga vizinga.

halafu kwanza unapata wapi ujasiri wa kumuomba mwanaume hela wakati unajua sio mumeo .sio hawala Wala siyo hata mpenzi wako

unaanza Tena kutia huruma kwani kabla yake wewe ulikuwa unaishije

Watu wakisema wew ni ombaomba utasema wamekutukana
 
Hawa uwezo wao wa kufikiri huwa ni mdogo sana.
 
Sasa si muwe mnasema Kama na namba siku hizi mnauza

Na kama amekuomba uchi si unampa Bei yako mnamalizana kila mtu analala mbele

Kuliko kuanza kumpiga vizinga.

halafu kwanza unapata wapi ujasiri wa kumuomba mwanaume hela wakati unajua sio mumeo .sio hawala Wala siyo hata mpenzi wako

unaanza Tena kutia huruma kwani kabla yake wewe ulikuwa unaishije

Watu wakisema wew ni ombaomba utasema wamekutukana
Hujaelewa point yangu nini
 
Hicho kizinga ndio bei yake
 
Kama mtafikia hatua ya kutumiana mihamala fanyeni kwa Selcom.
 
Back
Top Bottom