Hivi wanawake mkoje?

Hivi wanawake mkoje?

Hali ya uchumi ni mbaya sana, mwanamke anaomba 5000 means ana dhiki, mwanaume analalamikia 5000 means ana dhiki, umasikini ni mbaya
Atleast umekua positive. Uchumi pia una nafasi yake. Japo sio all the time. Kuomba inaweza ikawa ni straight indicator ya dhiki, ila mtu kukunyima si guarantee kwamba hana hiyo pesa
 
We mtu hatujafahamiana vyema
Siku moja tu ndani ya masaa 5 unaomba Hela, buku tano ?

Sio kwamba hatuna pesa, ila hizi tabia dadeq , tunawaona matapeli nyinyi.

Basi angalau vuta time kidogo wengine tuna goals juu yenu ila mnakuwa wehu
Ni umasi

Mkuu 5k kweli unaianzishia Uzi?
Shida haipo kwenye huyo mwanamke aliekuomba 5k, shida ipo kwako kuchukia Kuombwa hiyo Hela, ukumbuke saiv Wana mbinu kama hakutaki na anataka ukae nae mbali, anaanza vibomu,
Kingine jitahidi uwe unadate na mwanamke ambaye ata ukimwambia babe niazime 50k kesho ntakurudishia anakupa, ss unakuta mwanaume upo mabovu,unatafuta mwanamke nae choka mbaya nn unategemea?
Hili nalo mkalitazake
 
Ahahahaha.
Sio kila kuombwa pesa basi ni pesa inatafutwa, hapana, kuna muda mwingine ni kuwa hakuweza kukukataa instantly, so hii ni njia moja wapo ya kukupiga matukio ili ujikatae mwenyewe.

NB
Japo ukituma usifikiri kama atakurudishia!! Hapana, hiyo imeenda 😂😂
Hapo sasa ndipo mamafia huingia na mbinu zetu za kishetani anakuja kushituka kashaliwa kama mara 20 hivi
Mpaka anawaza kukuzalia mtoto.

Wengi wa wanawake niliowala hawakuwa na utayari wa kuja kuliwa na mimi.
Yaani mimi ukianza kuniomba tu pesa nakupa hapo hapo
Ukiomba tena nakupa tena na sikuombi K wala nini.
Baadae naingiza mbinu yangu ya kivita aisee ukitoka kwenye hiyo mbinu ujue kuwa wewe ni shetani kama mimi.
 
Ila sasa na pesa ndio zinakua zishaenda? 😂
 
Back
Top Bottom