Hivi, wanaume wa humu mkoje?

Hivi, wanaume wa humu mkoje?

NRNE

Samahanini kama ntakuwa nawakwaza kwa kuliongea hili wakuu, binafsi nimesikitishwa sana na hii tabia ambayo baadhi ya wanaume wanayo humu.

Ukija kuomba ushauri kuhusu mahusiano humu kuna baadhi ya members wakiume watajifanya wanaguswa na unayoyapitia na watakuonea huruma na kukufata PM, na kuanza kukuaproach.

Hii tabia sijaipenda kwasababu mimi nakuwa nimekuja kuomba ushauri nisolve tatizo langu na siyo kuja kutaka mpenzi mpya, na kuna baadhi ya members siyo wastaarabu anakukutumia na meseji huko PM akiona hujibu anakutukana kabisa, guys badilikeni hakuna mwanamke atayempenda mwanaume asiye mstaarabu.

Najua wanaume wastaarabu wapo wengi tu humu,... ila hawa baadhi wanawaharibia sifa haswa haswa hawa wanaoenda kukutana na members wa kike na wanakuja kujigamba huku jukwaani, binafsi siwezi kuwa na mtu humu kwanza hamko serious it seems kila mwanamke mnamfata huko PM.

Muwe na mchana mwema😍
Pole Waifu material
 
Niliyewahi kumfuata na kumtaka aje hapa hadharani aseme!
Hatufanani hivyo rekebisha title yako ili iwalenge wahusika tu
 
NRNE

Samahanini kama ntakuwa nawakwaza kwa kuliongea hili wakuu, binafsi nimesikitishwa sana na hii tabia ambayo baadhi ya wanaume wanayo humu.

Ukija kuomba ushauri kuhusu mahusiano humu kuna baadhi ya members wakiume watajifanya wanaguswa na unayoyapitia na watakuonea huruma na kukufata PM, na kuanza kukuaproach.

Hii tabia sijaipenda kwasababu mimi nakuwa nimekuja kuomba ushauri nisolve tatizo langu na siyo kuja kutaka mpenzi mpya, na kuna baadhi ya members siyo wastaarabu anakukutumia na meseji huko PM akiona hujibu anakutukana kabisa, guys badilikeni hakuna mwanamke atayempenda mwanaume asiye mstaarabu.

Najua wanaume wastaarabu wapo wengi tu humu,... ila hawa baadhi wanawaharibia sifa haswa haswa hawa wanaoenda kukutana na members wa kike na wanakuja kujigamba huku jukwaani, binafsi siwezi kuwa na mtu humu kwanza hamko serious it seems kila mwanamke mnamfata huko PM.

Muwe na mchana mwema😍
ungewasema wangeona aibu kutongoza tongoza....wataje tu wajulikane madam
 
Onyesha Ushirikiano wanataka wazibe pengo na kuponya jeraha.
 
kicheche@work
 
Kwan mtu akikutext PM Kuna ulazima wa kujibu? Hata kusoma hizo text sio lazma hazipunguzi chochote labda uwe na shauku ya kuchat nao ila kama huna sidhan kama utapata muda wa kuzifungua na kuchat nao
Simple tu usisome text au kujibu text unayoona Haina manufaa kwako
 
Back
Top Bottom