Wanaume wengi humu ni wanafiki mnaponda wanaowekeza kwa wanawake wakati mpo wengi

Mallia

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
322
1,000
Nimeshtuka baada ya kuona uzi wa member aliyekuja kuomba ushauri kuhusu kuwekeza kwa mwanamke , na kati ya waliokuwa wanamponda mmoja wapo nishamchuna sana tokea naanza jf alikuwa ananisumbua sana pm, hadi nikampa namba think mtu hatujawahi kukutana nilikuwa natumiwa hela kila nlipohitaji na nauli ya kutoka Dar kumfuata Mwanza alinitumia 470,000 niende kwa ndege nauli nikala na mwanza sikutokea hadi leo hana ham na mimi

Huyo mtu leo ndio yupo front line anamponda mwenzie kuwa analiwa

Hii ndio Jamii forum , humu kila mwanaume huwa ana pesa, nguvu za kiume, kila mtu huwa ni mjuaji wachache ndio huwa wanakuwa wakweli ila sasa mtu akiongea ukweli unaweza kuta mtu kwenye shida kama yake anakuja kumponda hii ndio Jf

Tukubali tu hakuna mwanaume ambaye hawekezi kwa mchumba , yaani usipowekeza Direct utawekeza kwa vizinga tu , kuna watu humu wanachunwa hatari, mwanamke kila wiki anatumiwa mahitaji yote , sijui bby nataka nguo hii hela inatumwa unakuta mwanamke anafungua biashara kwa hela ya mizinga tu

Wanaume wengi humu mshatufungulia biashara kwa mizinga tunayowapiga yani usipowekeza direct utawekeza kwa vizinga, wengi humu mnachunwa , ni sawa na wanaofungua bishara tu open ,mlojificha na nyie ni wale wale na ndio maana mnalalamika kila siku tumezidi vizinga
 

Mallia

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
322
1,000
Kila mtu anachunwa Kwa Levo yake..
Wengine vocha
Wengine simu mpya
Wengine chips mayai
Wengine Hadi viwanja na magari..

Nothing new under the sun....
Waambie yaani kuna watu humu washanunua hadi viwanja na magari kwa michepuko ila wapo frontline kuwaponda wenzoa

Sasa mtu katuma nauli ya ndege na leo yupo mstari wa mbele kumponda mwenzie
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom