Hivi, wanaume wa humu mkoje?

Hivi, wanaume wa humu mkoje?

Nadhani itakuwa si jambo jema ila nimefunga PM na kuwa ignore waliyonitukana
Ujue me huwa siwaelew watu wanaopenda kulazimisha vitu ambayo havifai kulazimisha...ndio mana me sometime huwa nakuwa mgumu sana kubembeleza mtu. I am not going to loose my energy for some things that are next to impossible...anyways watakuwa watoto hao wanajifunza kutongoza. Ukiwa kuna balehe unataka kila mtu umtongoze, kila mwanamke awe wako yan nyege zinakuwa zinakuendesha vibaya. Ukikuwa unakuja kujua sio lazima kuwa na kila anaekatiza mbele yako wengine waache wapite waende, huwezi kulomba Tanzania nzima na vitongoji vyake, relationships nyingi zinapoteza hela na mudaaa
 
Kwan mtu akikutext PM Kuna ulazima wa kujibu? Hata kusoma hizo text sio lazma hazipunguzi chochote labda uwe na shauku ya kuchat nao ila kama huna sidhan kama utapata muda wa kuzifungua na kuchat nao
Simple tu usisome text au kujibu text unayoona Haina manufaa kwako
Asante
 
Back
Top Bottom