lestone
JF-Expert Member
- May 20, 2022
- 430
- 754
Dah basi iyo siku nililewa,😃😃Na ahadi yangu ya gari sasa mkuu
Dah basi iyo siku nililewa,😃😃Na ahadi yangu ya gari sasa mkuu
Acha hizo ahadi ni deniDah basi iyo siku nililewa,😃😃
asante hivi mwaya maana yake nini!?Pole mwaya
Sio vizuriAsipate usumbufu 😂😂
Aah, nishakumbuk Lakin nilisem mpka nikuoe. Au ndoa ulikataaa?Acha hizo ahadi ni deni
Daaaah 😂😂😂😂😂😂😂😂😂JF ukiomba ushauri Kati ya comments 100 utapata mbili za maana kweli,hizo 98 zipuuzie!!!
Na sisi tukiamua mambo ya wanawake JF si kitanuka hapa? Itakuwa kama Bibi vs Ayatollah. KhamemeiNRNE
Samahanini kama ntakuwa nawakwaza kwa kuliongea hili wakuu, binafsi nimesikitishwa sana na hii tabia ambayo baadhi ya wanaume wanayo humu.
Ukija kuomba ushauri kuhusu mahusiano humu kuna baadhi ya members wakiume watajifanya wanaguswa na unayoyapitia na watakuonea huruma na kukufata PM, na kuanza kukuaproach.
Hii tabia sijaipenda kwasababu mimi nakuwa nimekuja kuomba ushauri nisolve tatizo langu na siyo kuja kutaka mpenzi mpya, na kuna baadhi ya members siyo wastaarabu anakukutumia na meseji huko PM akiona hujibu anakutukana kabisa, guys badilikeni hakuna mwanamke atayempenda mwanaume asiye mstaarabu.
Najua wanaume wastaarabu wapo wengi tu humu,... ila hawa baadhi wanawaharibia sifa haswa haswa hawa wanaoenda kukutana na members wa kike na wanakuja kujigamba huku jukwaani, binafsi siwezi kuwa na mtu humu kwanza hamko serious it seems kila mwanamke mnamfata huko PM.
Muwe na mchana mwema😍
Hapa duniani tunapita .Utajengaje nyumba barabarani?Wanaokuja huko PM wala usiwatukane, wapokee vizuri kwa bashasha; kisha mwambie hivi, ''bebiii naomba uninunulie kiwanja cha kujenga nyumba yangu pale Arusha chenye ukubwa wa mita za mraba 2000''
Ukumbuke kutuletea mrejesho.
Noumer Babu ,akaushe tu ,ila we sister niaje mbona hunasiri aisee dah! 🫣Waanike hapa tuwaone.
honey.Sawa
Moja ya sababu ilinifanya nifunge PM, kuna watu wa hovyo sana na wako so entitled 🚮🚮🚮Kuna baadhi ya members siyo wastaarabu anakukutumia na meseji huko PM akiona hujibu anakutukana kabisa, guys badilikeni hakuna mwanamke atayempenda mwanaume asiye mstaarabu.
WENGI???Najua wanaume wastaarabu wapo wengi tu humu,...
Usikutane na mtu from JF, nafikiri ni kujitafutia matatizo tu.Ila hawa baadhi wanawaharibia sifa haswa haswa hawa wanaoenda kukutana na members wa kike na wanakuja kujigamba huku jukwaani, binafsi siwezi kuwa na mtu humu kwanza hamko serious it seems kila mwanamke mnamfata huko PM.
💕💕Muwe na mchana mwema😍
Binadamu wote wangelitambua hili, tungelikuwa tunaishi kwa amani sana bila kuwepo na fitina zozote.Hapa duniani tunapita .Utajengaje nyumba barabarani?