Hivi wanaume huwa mnawaza nini

Hivi wanaume huwa mnawaza nini

Karibu uniPMnikunyeshe namna ya kutumia hizo laki4, nahisi grisi ya vyuma vyangu imepatikana kwa wakati, karibu inbox please
 
Hahaaa. Kama hailingani basi hata hiyo ndogo mbona hamuachi?.

Sasa kama mchepuko una hasara kiasi hicho kuna faida ya kuwepo , si bora hiyo hela ungeitumia kupanga matumizi na mkeo angalau tungeona mnafanya vya maana.
Naomba nikupe uzoefu! Wanawake wengi mkiolewa mnabweteka hasa ukishazaa! Mnatupa k kwa mgawo mpaka nyumba unaiona chungu. I can tell you kama hutaki kuchepuka inatakiwa uwe unapiga nyetto, imagine umeoa na chaputa. Ukitaka maisha yawe smooth ni lazima kila wakati ule k wakati Mke wako akiwa anatamani. I tell you utaenjoy hakuna mfano. Ukifosi lazima ndoa itayumba. Wenzako tunadumisha ndoa kwa kuwa na mchepuko na siku pamoja na Upendo nyumbani vinatamaraki. Believe me or not michepuko ni msaaada mkubwa kwenu akinamama. Usisahau msemo kuwa mke mjeuri muolee mwingine! Cc Heaven Sent
 
Eenh huku anashushia na vibeer vyake kama ni mnywaji amsubiri mume
Tena akifika unampokea na bashasha la kutosha, huku unajiandaa kutafuta nyingine kama kaja nazo.
 
Usimpe..tena ikiwezekana kasachi hadi kabatini..nyambafuu anajidai yy ni baba huruma sio?charity begins at home.Hizi ndoa mhh ukute hapo ulimuomba pesa akasema hana..alafu unakuta muhamala wa mchepuko!Akome kwa niaba ya wanaume wenzake.
 
Mmh. Kwa uliyoyaandika hapa na dhahiri kwamba kuna ambalo umeshalipanga.

Ila kaa ujue ubaya haulipizwi kwa ubaya. Na kila mmoja ana tatizo lake, usikae ukadhani ukimuacha huyo utapata aliyekamilika. Kwa hilo sahau my dear.

Na nyie wanaume acheni hizo. Mchepuko unaupa laki huku mkeo analia shida. Khaaaa. Ndio nini sasa. Hebu wajalini wake zenu basi.
Kuna mengi ya msingi na mke mchepuko ni wa kupitia tu baada ya hiyo huenda asipate tena kwa maana akishapitiwa ndo imetoka hiyoo
 
Kazitumie vzr mpendwa, zali la xmas hilo. Akija nazo nyingine beba, kwenye hizo hela mnunulie zawadi pia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usimpe..tena ikiwezekana kasachi hadi kabatini..nyambafuu anajidai yy ni baba huruma sio?charity begins at home.Hizi ndoa mhh ukute hapo ulimuomba pesa akasema hana..alafu unakuta muhamala wa mchepuko!Akome kwa niaba ya wanaume wenzake.
 
Yaani leo ndio nimechoka na vitimbi vya wanaume mimi nimejikuta nipo tayari anipe taraka lakini si kurudisha hizi pesa.

Kisa kipo hivi katika heka heka za kushika simu yake nimekuita muamala nikautilia shaka kumbe ni kweli amemtumia pesa kimada chake laki moja.

Nilichoamua kufanya Mimi nimemkombea lakin NNE zote zilozo kwenye suruali yake najiandaa na Mimi kufanya yangu. Wakuu nitakuwa nakosea haiwezekani nje aonge alafu kwangu ajifanye kila siku hana.

Neno lake la mwisho asipoikuta pesa yake akirudi nitakiona cha mtema kumi. Nahisi na Mimi nipo tayari kwa lolote lakini si kuirudisha hii pesa.
we naye badala ya kulea watoto unaleta ngebe,utafukuzwa uwende sinza ukauze mbunye iliozeeka.
 
Karibu uniPMnikunyeshe namna ya kutumia hizo laki4, nahisi grisi ya vyuma vyangu imepatikana kwa wakati, karibu inbox please
Vikukazeee tu vyuma vyako kila MTU apambane na hali yake....hapa Leo naona kama nimeokota dodo chini ya muembee
 
Back
Top Bottom