Ndo nishamshauri hivo ushauri muruaa kabisaDaima Ukweli UTASHINDA .... Kumshauri mwenzako Ujinga ,,ili hali unajijua haupo ndoani ,,,namwisho wasiku Aachike ..uanze kumcheka tena humu ,,Hiyo dhambi itakutafuna popote ulipo..
Yes Mimi Kiranja na nitabaki kua ivo.
Laki hailingani na matumizi hapo nyumbani! Usisahau usipoupa Mchepuko fedha unaleta ukimwi ! Bora kuutunza usije hanja kwa kukosa fedha ya mbogaMmh. Kwa uliyoyaandika hapa na dhahiri kwamba kuna ambalo umeshalipanga.
Ila kaa ujue ubaya haulipizwi kwa ubaya. Na kila mmoja ana tatizo lake, usikae ukadhani ukimuacha huyo utapata aliyekamilika. Kwa hilo sahau my dear.
Na nyie wanaume acheni hizo. Mchepuko unaupa laki huku mkeo analia shida. Khaaaa. Ndio nini sasa. Hebu wajalini wake zenu basi.
Zilete nikuwekee msala ukiisha nitakurudishia 0766142585Yaani leo ndio nimechoka na vitimbi vya wanaume mimi nimejikuta nipo tayari anipe taraka lakini si kurudisha hizi pesa.
Kisa kipo hivi katika heka heka za kushika simu yake nimekuita muamala nikautilia shaka kumbe ni kweli amemtumia pesa kimada chake laki moja.
Nilichoamua kufanya Mimi nimemkombea lakin NNE zote zilozo kwenye suruali yake najiandaa na Mimi kufanya yangu. Wakuu nitakuwa nakosea haiwezekani nje aonge alafu kwangu ajifanye kila siku hana.
Neno lake la mwisho asipoikuta pesa yake akirudi nitakiona cha mtema kumi. Nahisi na Mimi nipo tayari kwa lolote lakini si kuirudisha hii pesa.
Kasema amemtumia nani,.? Amejiteteaje ?Ni bora kipigo kuliko kurudiaha hii pesa wanaume sijui mkoje mnaona bora vimada kuliko wake zenu
Wapi nimekupangia ??? Ifike mahali ,,muwe watu mnaopenda mafanikio ya wenzenu ...unapoona mwenzako anayumba ,,muokoe ,,siyo naww kumdidimiza.😀😀😀
Anatupangia hata maxence mwenyewe hatufanyii hivo
Kwan EMMYTA ni mwanamme???? Mbn mdada wawatu yupo Positive sana ??? Kwann asiwe mfano kwenu ???.Mimi ni Eve wewe ni V
Hatufanani jinsia wala akili
teeehh teehh umekimbilia huku upate msaadaYaani leo ndio nimechoka na vitimbi vya wanaume mimi nimejikuta nipo tayari anipe taraka lakini si kurudisha hizi pesa.
Kisa kipo hivi katika heka heka za kushika simu yake nimekuita muamala nikautilia shaka kumbe ni kweli amemtumia pesa kimada chake laki moja.
Nilichoamua kufanya Mimi nimemkombea lakin NNE zote zilozo kwenye suruali yake najiandaa na Mimi kufanya yangu. Wakuu nitakuwa nakosea haiwezekani nje aonge alafu kwangu ajifanye kila siku hana.
Neno lake la mwisho asipoikuta pesa yake akirudi nitakiona cha mtema kumi. Nahisi na Mimi nipo tayari kwa lolote lakini si kuirudisha hii pesa.
Mbona yauaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shilingi yaua ....tena ni Maua ¡!.
Hahaaa. Kama hailingani basi hata hiyo ndogo mbona hamuachi?.Laki hailingani na matumizi hapo nyumbani! Usisahau usipoupa Mchepuko fedha unaleta ukimwi ! Bora kuutunza usije hanja kwa kukosa fedha ya mboga
Hahahahahahaaaaa tatizo jf wengi wanajifanya wajuaji😀😀😀
Anatupangia hata maxence mwenyewe hatufanyii hivo
Tena ni Mpumbavu Wa hali ya juu !!!....Mwanamke anaevunja ndoa yake kisa laki nne za madafu ni mpumbavu....
Narudia tena ni mpumbavu....
Usiirudishe....
Kama hamna mtoto nyumbani, kimbia mahali ukapunge upepo na hiyo laki nne yake
Namm ndo nmeshamwambia ,,naww narudia kukuambia .Ndo nishamshauri hivo ushauri muruaa kabisa
Na huyu mwanamke ni mpumbavu 100%....Tena ni Mpumbavu Wa hali ya juu !!!....
Hivi unadhani suluhu za matatizo huwa zinafanana??? Unahisi suluhu unazotumia wewe katika ndoa yako ni lazma zifanye kazi katika ndoa nyingine???Wapi nimekupangia ??? Ifike mahali ,,muwe watu mnaopenda mafanikio ya wenzenu ...unapoona mwenzako anayumba ,,muokoe ,,siyo naww kumdidimiza.
Izo nitabia zawanawake waloachika !! Masingo ( wasokua naakili) ..wanaotegemea virungu vya wanaumw kuishi .
KWAUFUPI HUJIAMINI NA MWANAMKW SHARITI UJIAMINI.