Queen ratifa
Member
- Dec 20, 2017
- 26
- 56
Yaani leo ndio nimechoka na vitimbi vya wanaume mimi nimejikuta nipo tayari anipe taraka lakini si kurudisha hizi pesa.
Kisa kipo hivi katika heka heka za kushika simu yake nimekuita muamala nikautilia shaka kumbe ni kweli amemtumia pesa kimada chake laki moja.
Nilichoamua kufanya Mimi nimemkombea lakin NNE zote zilozo kwenye suruali yake najiandaa na Mimi kufanya yangu. Wakuu nitakuwa nakosea haiwezekani nje aonge alafu kwangu ajifanye kila siku hana.
Neno lake la mwisho asipoikuta pesa yake akirudi nitakiona cha mtema kumi. Nahisi na Mimi nipo tayari kwa lolote lakini si kuirudisha hii pesa.