Queen ratifa
Member
- Dec 20, 2017
- 26
- 56
- Thread starter
- #161
Si ya maana bila krissmass kwangu muruaaaUnaonekana huna kazi ndo mana unawaza hyo ni hela ya maaana
Si ya maana bila krissmass kwangu muruaaaUnaonekana huna kazi ndo mana unawaza hyo ni hela ya maaana
Sijaolewa kwa nini mkuuHujaolewa ww
We huko chini ya kitanda vikipotea mi sikushauri tena, hiyo laki nne ulitakiwa uivalie pensi kabisa weka ndani ya pensi vaa, vaa pensi nyingine juu, weka gauni funga na kitenge....Khaaa mwenzanguuu nalinda visent vyangu vya wizi me mwenyewe naona ngekewa hapa na vyuma hivi vilivyokaza nafanya kazi ya kuzichungulia kila dk 0. Chini ya kitanda sasa naona pm huko sipaelewiiii
NdioKwa hio wewe siku zote unajua ana k'mdada na unakijua hicho k'mdada?
Sijui ndo mwenye laki nne imebidi niulize kama ni yeye ndio kaandika[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sijui kapanik, penye l ikawekwa r na kinyume chake, mara mumeo wako!! Au ndio mume nini!!!
Mamy leo mbona unaonekana una hasira hivyo nani kukukwaza kiasi hicho?kisa???
Hamna umewaza tu hivo, nipo kawaida kabisa yani nipo fresh wala sina hasiraMamy leo mbona unaonekana una hasira hivyo nani kukukwaza kiasi hicho?
Naomba Usinitukane Mana Comments Yako Inanitisha Kwa kweriNi wewe ndio umeandika hapa?
Mkuu nimependa unyambulishaji wako wa hesabu bila shaka wewe hukupataga chini ya asilimia 95 tangu ulipoanza skonga mpaka kumaliza kwako.Ukichepuka angalau mara moja kila mwezi, kwa mwaka mzima unakua umechepuka mara 12
12÷366= 0.033
0.033×100=3.3%
Yaani kumbe unakua mwaminifu kwa 96.7% ambayo ni grade A```[emoji736]
Tuongeze juhudi♂♂♂
Wazo zuriii mkuu wacha nifanye himaaWe huko chini ya kitanda vikipotea mi sikushauri tena, hiyo laki nne ulitakiwa uivalie pensi kabisa weka ndani ya pensi vaa, vaa pensi nyingine juu, weka gauni funga na kitenge....
Ulinzi shirikishi
😀😀😀😀Naomba Usinitukane Mana Comments Yako Inanitisha Kwa kweri
Sasa kama mama mwenye nyumba ulichukua hatua gani baada ya kujua ana k'mdada ?Ndio
mshinde tu Huyo shetani wa pesa aliyekusimamia nawaweza ukatumia lugha njema kama nilivyokwambia ukakuta anaamua kukuachia tu hicho kiasi iliukitimie ktk matumizi yko .huku nafsi yake ikiwa imeridhika kukupa hizo pesa ..anaweza kufikia hatua hiyo baada yakuona kuwa umeibomoa bomoa akili yake iliyokuwa namitazamo hasi .kisha umemuingizia mitazamo chanya ..au pia anaweza kukupa kiasi nusu ..but atafikia huko kihatma baada yakuona kuwa umemuatack kwa maneno ynye hekima busara nayanayomjenga .....kuliko kukurupuka tu nawwe kuliamsha dude laugomvi lililolala...itakula kwako mkuumkuu iliyonishauri nimeyaelewa yote jitaongea nae aache lakini kuhusu kurudisha hii pesa ndio kwenye ukakasi kidogo najitahidi kuelewa ila nashindwa kabisa
Acha wizi Dada mlainishe mumeo upewe zako acha uporajiYaani leo ndio nimechoka na vitimbi vya wanaume mimi nimejikuta nipo tayari anipe taraka lakini si kurudisha hizi pesa.
Kisa kipo hivi katika heka heka za kushika simu yake nimekuita muamala nikautilia shaka kumbe ni kweli amemtumia pesa kimada chake laki moja.
Nilichoamua kufanya Mimi nimemkombea lakin NNE zote zilozo kwenye suruali yake najiandaa na Mimi kufanya yangu. Wakuu nitakuwa nakosea haiwezekani nje aonge alafu kwangu ajifanye kila siku hana.
Neno lake la mwisho asipoikuta pesa yake akirudi nitakiona cha mtema kumi. Nahisi na Mimi nipo tayari kwa lolote lakini si kuirudisha hii pesa.
Kesho Hasubui utupe mrejesho yaliyo kukumba huko ulipo ktk hili zengwe [emoji91] [emoji95] [emoji95] [emoji95] [emoji92] [emoji91] [emoji91]Yaani leo ndio nimechoka na vitimbi vya wanaume mimi nimejikuta nipo tayari anipe taraka lakini si kurudisha hizi pesa.
Kisa kipo hivi katika heka heka za kushika simu yake nimekuita muamala nikautilia shaka kumbe ni kweli amemtumia pesa kimada chake laki moja.
Nilichoamua kufanya Mimi nimemkombea lakin NNE zote zilozo kwenye suruali yake najiandaa na Mimi kufanya yangu. Wakuu nitakuwa nakosea haiwezekani nje aonge alafu kwangu ajifanye kila siku hana.
Neno lake la mwisho asipoikuta pesa yake akirudi nitakiona cha mtema kumi. Nahisi na Mimi nipo tayari kwa lolote lakini si kuirudisha hii pesa.