Hivi wanaume huwa mnawaza nini

Hivi wanaume huwa mnawaza nini

Tatizo liko hapa , so kila mwanamke anae wasiliana Na mumeo lazima awe kimada wake wanawake acheni negative instincts , bidada nakushauri kaaa chini Na mumeo ikiwezekana mwandalie chochote anachokipenda Na katikati ya maongezi mweleze ambavyo hujafurahishwa Na yy kutuma hela kwa mwanamke mwingine Na unge penda akujujali ww kama Mke wake then mabusu mawili matatu , kumbuka usipende kubishana Na mwanaume Siku zote mwanaume hajaribiwi maana ukifanya ivyo mambo yanaeza kua mabaya upande wako.
 
Back
Top Bottom