Hivi wanaume huwa mnawaza nini

Hivi wanaume huwa mnawaza nini

Daima Ukweli UTASHINDA .... Kumshauri mwenzako Ujinga ,,ili hali unajijua haupo ndoani ,,,namwisho wasiku Aachike ..uanze kumcheka tena humu ,,Hiyo dhambi itakutafuna popote ulipo..

Yes Mimi Kiranja na nitabaki kua ivo.
Nakuamiania sana bro
 
Yaani leo ndio nimechoka na vitimbi vya wanaume mimi nimejikuta nipo tayari anipe taraka lakini si kurudisha hizi pesa.

Kisa kipo hivi katika heka heka za kushika simu yake nimekuita muamala nikautilia shaka kumbe ni kweli amemtumia pesa kimada chake laki moja.

Nilichoamua kufanya Mimi nimemkombea lakin NNE zote zilozo kwenye suruali yake najiandaa na Mimi kufanya yangu. Wakuu nitakuwa nakosea haiwezekani nje aonge alafu kwangu ajifanye kila siku hana.

Neno lake la mwisho asipoikuta pesa yake akirudi nitakiona cha mtema kumi. Nahisi na Mimi nipo tayari kwa lolote lakini si kuirudisha hii pesa.

Duu laki tu unatoa povu hivi je ukute kamnunulia Gari si utazimia kizuri kula na mwenzio bana khaaa.....
 
Yaani leo ndio nimechoka na vitimbi vya wanaume mimi nimejikuta nipo tayari anipe taraka lakini si kurudisha hizi pesa.

Kisa kipo hivi katika heka heka za kushika simu yake nimekuita muamala nikautilia shaka kumbe ni kweli amemtumia pesa kimada chake laki moja.

Nilichoamua kufanya Mimi nimemkombea lakin NNE zote zilozo kwenye suruali yake najiandaa na Mimi kufanya yangu. Wakuu nitakuwa nakosea haiwezekani nje aonge alafu kwangu ajifanye kila siku hana.

Neno lake la mwisho asipoikuta pesa yake akirudi nitakiona cha mtema kumi. Nahisi na Mimi nipo tayari kwa lolote lakini si kuirudisha hii pesa.
Wanawake mbona hampendani, sasa kumsaidia mwanamke mwenzio unatokwa mipovu ebu kuweni na upendo basi na nyie..!
 
Mmh. Kwa uliyoyaandika hapa na dhahiri kwamba kuna ambalo umeshalipanga.

Ila kaa ujue ubaya haulipizwi kwa ubaya. Na kila mmoja ana tatizo lake, usikae ukadhani ukimuacha huyo utapata aliyekamilika. Kwa hilo sahau my dear.

Na nyie wanaume acheni hizo. Mchepuko unaupa laki huku mkeo analia shida. Khaaaa. Ndio nini sasa. Hebu wajalini wake zenu basi.
Hata mi nakujari emmyta
 
daaaah so hiyo ndo njia yako ya kusolve tatizo??? au ndo kumkomoa?? au kulipiza kisasi?? au ni nini??
 
Aende wapi sasa na wakati hapo ndio kwake na huyo ndio mumewe kama kuondoka aondoke mwanaume
Nimekuelewa Mkuu ....umemaliza wala sina nyongeza ,,kwakua hapo *muafaka utapatikana na maisha yataendelea*.

Kama nimimi ,kwanza nakuja gauni jipyaaa zuri unalopendaa ,, au Underwear zakutosha ,,, nikifika tu Waoooooooooo my Little Mama ,, Leo nmekumis mpaka nikajihisi kuumwa ,sasa wakati narudi ,nimeona nimekuchukulie zawadi I hope utaipenda * ,nikikuongezea mabusu mabusu ,,kushika kiuno na Mabutts ..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utajikuta unacheka mwenyeweee ,unanizaba kibao cha bega alafu unasema ** Alafu weweeeeeeee mwone , [emoji6] [emoji6] ** .

Unajisahalishaa ..baadae ndo tunayazungumza ...

Mimi:-- all in all ,,nakupenda mke Wangu ,mpaka ninakuoa weww miongon mwa mamilion ya Wanawake ,basi tambua wew ni Bora mama yangu !! .

Wewe ** usirudie babangu ,,nakupenda sana*.
 
Back
Top Bottom