Hivi wanaume huwa mnawaza nini

Hivi wanaume huwa mnawaza nini

Kazitumie vzr mpendwa, zali la xmas hilo. Akija nazo nyingine beba, kwenye hizo hela mnunulie zawadi pia.
Haki ya mama na krisimass hii naridishaje kwa mfano afe kipa afe beki akirudi kitu....hawa wanaume si watu wakuwachekea anaweza kulisha bamia dairly kumbe anahonga vimwali
 
Mmh. Kwa uliyoyaandika hapa na dhahiri kwamba kuna ambalo umeshalipanga.

Ila kaa ujue ubaya haulipizwi kwa ubaya. Na kila mmoja ana tatizo lake, usikae ukadhani ukimuacha huyo utapata aliyekamilika. Kwa hilo sahau my dear.

Na nyie wanaume acheni hizo. Mchepuko unaupa laki huku mkeo analia shida. Khaaaa. Ndio nini sasa. Hebu wajalini wake zenu basi.
Ndiyo maana nilishakuambia aliyekupata wewe kapata muke ya nguvu sana aisee,mtoto wa kike una hekma kiasi hicho,mpaka nikisoma majibu yako nabubujikwa na furaha moyo kama maji yatiririkavyo kwenye vijito vya lebanoni.
 
Dooooh!kweli vyuma vimekaza kina smart mnipe break kidogo huko pm😀😀😀vilaki vinne tu mnanitoleaaa mijicho kodooo....naipata kwa shida hii sa hizi masubiria kiama changu sijui kazi tapota salama
 
Unaonekana huna kazi ndo mana unawaza hyo ni hela ya maaana
 
sasa laki NNE mbona nihela ndogo mnooo kwahiyo upotayari kuivunja nyumba yako na wakati muda wote uliouwekeza ktk mahusiano yenu kwaajili ya laki 4
aiseeee unasema kuwa wanaume huwa tunawazaga nini ..lakini hii thread yako inadhihirisha kuwa wanawake huwa mpo nasi kwaajili yakuzitaka pesa zetu nasiovinginevyo ..mimi nilidhani utakosa furaha na amani baada ykuona kuwa huyojamaa amepoteza mapenzi na uwaminifu ktk mahusiano yenu ..kumbe ndio kwanza akili yko IPO kwenye hizi laki NNE ....inaelekea upo kwnye ndoa pasipo kujua kipi kilichokufnya uwepo ktk hiyo ndoa
NDOA NIZAIDI YAHIYO LAKI NNE MKUU ""
waweza kumrejeshea kisha ukatumia hekima na busara kumsema iliaache hiyo Tabia yake mbaya ambayo niadui wa ustawi wa ndoa yenu ..kisha ukamwambia kuwa inaweza kuwaletea magonjwa ya zinaa yanayoweza kuwaacha watoto wakiwa yatima..ninauhakika kama anajitambua atakuelewa nakuachana natabia hizo hasi ''' kisha atajiona bonge lafala
kuliko kung'ang'ania hizo laki4 ambazo hazitokuwa nafaida yyte yakudumu kwako
mkuu iliyonishauri nimeyaelewa yote jitaongea nae aache lakini kuhusu kurudisha hii pesa ndio kwenye ukakasi kidogo najitahidi kuelewa ila nashindwa kabisa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haki nimecheka.
Khaaa mwenzanguuu nalinda visent vyangu vya wizi me mwenyewe naona ngekewa hapa na vyuma hivi vilivyokaza nafanya kazi ya kuzichungulia kila dk 0. Chini ya kitanda sasa naona pm huko sipaelewiiii
 
Umejuaje km ni kimada labda mfanya biashara mwenzake hpo ndo mnapoharibu mambo alf yann matatzo qww ndo umepewa ukuu wa nyumba bdo unapotexa mda kufuatilia ya mitaan utaachwa aje huyo
 
Back
Top Bottom