Nimekuelewa Mkuu ....umemaliza wala sina nyongeza ,,kwakua hapo *muafaka utapatikana na maisha yataendelea*.
Kama nimimi ,kwanza nakuja gauni jipyaaa zuri unalopendaa ,, au Underwear zakutosha ,,, nikifika tu Waoooooooooo my Little Mama ,, Leo nmekumis mpaka nikajihisi kuumwa ,sasa wakati narudi ,nimeona nimekuchukulie zawadi I hope utaipenda * ,nikikuongezea mabusu mabusu ,,kushika kiuno na Mabutts ..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utajikuta unacheka mwenyeweee ,unanizaba kibao cha bega alafu unasema ** Alafu weweeeeeeee mwone , [emoji6] [emoji6] ** .
Unajisahalishaa ..baadae ndo tunayazungumza ...
Mimi:-- all in all ,,nakupenda mke Wangu ,mpaka ninakuoa weww miongon mwa mamilion ya Wanawake ,basi tambua wew ni Bora mama yangu !! .
Wewe ** usirudie babangu ,,nakupenda sana*.