Kumbuka mke wa pili ndiye mke mtamuNi bora kipigo kuliko kurudiaha hii pesa wanaume sijui mkoje mnaona bora vimada kuliko wake zenu
Singe Mother: wanazidi kuongezeka JfYahn leo ndio nimechoka na vitimbi vya wanaume mimi nimejikuta nipo tayari anipe taraka lakini si kurudisha hizi pesa.
Kisa kipo hivi katika heka heka za kushika simu yake nimekuita muamala nikautilia shaka kumbe ni kweli amemtumia pesa kimada chake lakin moja.
Nilichoamua kufanya Mimi nimemkombea lakin NNE zote zilozo kwenye auruali yake najiandaa na Mimi kufanya yangu.wakuu nitakuwa nakosea haiwezekani nje aonge alafu kwangu ajifanye kila siku hana.
Neno lake LA mwisho asipoikuta pesa yake akirudi nitakiona cha mtema kumi..Nahisi na Mimi nipo tayari kwa lolote lakini si kuirudisha hii pesa.
Tatizo lako unajikutaga kiranja wa jf, we sema yako pita vile....Ngoja nikuache ,,nimeshagundua umwanamke wa aina gani .
Let me close my Mouth !!!.... ** FLY will not get into a Closed MOUTH **
NgwiniMtindio wa ubongo
Unajuaje ameonga ??? Nakama nimwanamke rafiki yake alomwomba amkopeshe iyo pesa ???.kwa hiyo ni vema yeye kuhonga nje kuliko Mimi mke wake
NANGOJA WAONGEZEKE ..NAMM NITAZIDI KUWAPONDA NYANG'ANYANG'A..Singe Mother: wanazidi kuongezeka Jf
Daima Ukweli UTASHINDA .... Kumshauri mwenzako Ujinga ,,ili hali unajijua haupo ndoani ,,,namwisho wasiku Aachike ..uanze kumcheka tena humu ,,Hiyo dhambi itakutafuna popote ulipo..Tatizo lako unajikutaga kiranja wa jf, we sema yako pita vile....
Hakika .Jinga.......
Hahahahahahhaaaaaaaaaaa hiyo nimekufungia mwaka imenipa rahaHivi wanaume huwa mnawaza nini jibu ni (k).nime kufungia mwaka 2017
Hahahahahaaaaaa my ribs eti kiranja wa jf uwiiiiTatizo lako unajikutaga kiranja wa jf, we sema yako pita vile....
Una maana "brain error"?Mtindio wa ubongo
Asante kwa Busara zako......Sijui kua follower wako !!!.Mmh. Kwa uliyoyaandika hapa na dhahiri kwamba kuna ambalo umeshalipanga.
Ila kaa ujue ubaya haulipizwi kwa ubaya. Na kila mmoja ana tatizo lake, usikae ukadhani ukimuacha huyo utapata aliyekamilika. Kwa hilo sahau my dear.
Na nyie wanaume acheni hizo. Mchepuko unaupa laki huku mkeo analia shida. Khaaaa. Ndio nini sasa. Hebu wajalini wake zenu basi.
MamboUmejuaje kama ni kimada wake!??
😀😀😀Hahahahahaaaaaa my ribs eti kiranja wa jf uwiiii
Mimi ni Eve wewe ni VAsante kwa Busara zako......Sijui kua follower wako !!!.
Alafu Mtu anamwambia ,,*KAMA HAUNA MTOTO , zichukue uende zako naww**.
Naamin una Unaakili Emmy ,,,,, embu bila kupapasa macho,, Hayo.maneno niloandika kwa herufi kubwa ,, unayapa Tafasiri gani???????.
Ndomaana ,,nimewambia Unless nyote ni vimada basi mnahaki yakushauliana kiumada umada ...ukienda mbele zaidi utagunduaaa...Mtoa mada niaina ya mwanamke ambaye siku moja ukirudi nyumban ,,utakuta kakuachia nguo zako tuuu.