Hivi wanaume huwa mnawaza nini

Hivi wanaume huwa mnawaza nini

Ni bora kipigo kuliko kurudiaha hii pesa wanaume sijui mkoje mnaona bora vimada kuliko wake zenu

Kuchukua pesa ya mume wako kwenye mfuko wake wa suruali bila ruhusa yake ni wizi.
 
Huyo mume nae atakua bwege kuvunja ndoa kwa laki nne
Kabla hujaongea jaribu kuunganisha ubongo wako na ulimi.

Nani amekuambia ,kinachotazamwa hapo ni PESA ???????.

Wee vipi ,Mwanamme anataka HESHIMA ,,,ukimwonyesha kutomheshimu na kujifanyia maamuzi yako bila kumskiliza ,,,utaachwa tuuu.
 
Umesema nampotosha atavunja ndoa kwa laki nne,ndo nimekwambia huyo mwanaume wa kuacha mke kisa laki nne ni bwege
 
Hivi unadhani suluhu za matatizo huwa zinafanana??? Unahisi suluhu unazotumia wewe katika ndoa yako ni lazma zifanye kazi katika ndoa nyingine???
Solutions ni nyingi usikariri, we ukitumia za busara mi natumia za kijeshi na mambo yanaenda
Ninan amekuambia ,Tatizo hutatuliwa na tatizo ???.

Izo zako sio solutions Bali nimatatizo...nakm zinakusaidia ..zinakusaidia kwa MABUZI NASIO MUME..

mabuzi sindo huwa mnayanuniaaaaa mpaka yanaingia kingi....HUNA MUME WEWE
 
Yaani leo ndio nimechoka na vitimbi vya wanaume mimi nimejikuta nipo tayari anipe taraka lakini si kurudisha hizi pesa.

Kisa kipo hivi katika heka heka za kushika simu yake nimekuita muamala nikautilia shaka kumbe ni kweli amemtumia pesa kimada chake laki moja.

Nilichoamua kufanya Mimi nimemkombea lakin NNE zote zilozo kwenye suruali yake najiandaa na Mimi kufanya yangu. Wakuu nitakuwa nakosea haiwezekani nje aonge alafu kwangu ajifanye kila siku hana.

Neno lake la mwisho asipoikuta pesa yake akirudi nitakiona cha mtema kumi. Nahisi na Mimi nipo tayari kwa lolote lakini si kuirudisha hii pesa.
Kwa hiyo kwa kifupi humuogopi mtema kuni. Njoo nazo fedha uje unihonge na mimi, ili ngoma iwe droo.
 
Umesema nampotosha atavunja ndoa kwa laki nne,ndo nimekwambia huyo mwanaume wa kuacha mke kisa laki nne ni bwege
Hujielewi ,,kuna ulazima wakucheki Upeo Wa akili yako..

Narudia ,kitakachomwacha Hugo mwanamkw sio pesa ,,ila Heshima ndo itamwacha ..na ATAACHIKA KWELI NAJAMAA ATABAKI SIO BWEGE...

mwanamme anahitaji kua mahali anapoheshimika nakusikilizwa.
 
Usingebeba pesa, ulitakiwa kulijenga baada ya kuiona sms. Umekosea, rudisha pesa na omba msamaha lakini anatakiwa ajue kuwa umeumia kuona kimada kapewa pesa alafu nyumbani kwake kunayumba.
 
Yaani leo ndio nimechoka na vitimbi vya wanaume mimi nimejikuta nipo tayari anipe taraka lakini si kurudisha hizi pesa.

Kisa kipo hivi katika heka heka za kushika simu yake nimekuita muamala nikautilia shaka kumbe ni kweli amemtumia pesa kimada chake laki moja.

Nilichoamua kufanya Mimi nimemkombea lakin NNE zote zilozo kwenye suruali yake najiandaa na Mimi kufanya yangu. Wakuu nitakuwa nakosea haiwezekani nje aonge alafu kwangu ajifanye kila siku hana.

Neno lake la mwisho asipoikuta pesa yake akirudi nitakiona cha mtema kumi. Nahisi na Mimi nipo tayari kwa lolote lakini si kuirudisha hii pesa.
We si ulishalipiwa mahali?
 
Mmh. Kwa uliyoyaandika hapa na dhahiri kwamba kuna ambalo umeshalipanga.

Ila kaa ujue ubaya haulipizwi kwa ubaya. Na kila mmoja ana tatizo lake, usikae ukadhani ukimuacha huyo utapata aliyekamilika. Kwa hilo sahau my dear.

Na nyie wanaume acheni hizo. Mchepuko unaupa laki huku mkeo analia shida. Khaaaa. Ndio nini sasa. Hebu wajalini wake zenu basi.
Tatizo wanawake ambao wanaume zao wanachepuka ni kuwa nao zamani kabla hawajaolewa walikuwa wanachukua sana waume Za watu.Sasa wanapata malipo hapa hapa duniani
 
Back
Top Bottom