Hivi wanaume huwa mnawaza nini

Hivi wanaume huwa mnawaza nini

Evelyn Salt ,
Mkuu.

Amiin!!!
Tena, Dada Evelyn binafsi mke wangu ndiye anatunza hadi kadi za benk maana she is my everything.

Japo, Poise , nampenda na kumheshimu sana mke wangu.
Sijawahi kujuta kuwa naye wala hata kuchepuka.
" she is my world".

Tanga Raha sana, pia nashukuru familia ya mke wangu kumlea vyema na kumfanya awe mke aliyetukuka kuliko wote.

Nashukuru sana kwa, mkoa wa Tanga kuwa nchini Tanzania.
Hakika nilazima ujivunie kua na mke huyo mkuu.

May God bless both of you !!!.
 
Ukija jf kufata ushauri bac hakikisha ubongo wako unachujio dogooo ambalo linaacha uchafu mwing na kupitisha unachokita kwa uchache sana..athawyz utajuta na muda haurud nyuma..
 
Evelyn Salt ,
Mkuu.

Amiin!!!
Tena, Dada Evelyn binafsi mke wangu ndiye anatunza hadi kadi za benk maana she is my everything.

Japo, Poise , nampenda na kumheshimu sana mke wangu.
Sijawahi kujuta kuwa naye wala hata kuchepuka.
" she is my world".

Tanga Raha sana, pia nashukuru familia ya mke wangu kumlea vyema na kumfanya awe mke aliyetukuka kuliko wote.

Nashukuru sana kwa, mkoa wa Tanga kuwa nchini Tanzania.
Ewaaa! Yaani Shemeji hujawahi niangusha aisee. Allah azidi kuwasimamia.
 
Wanawake mbona hampendani, sasa kumsaidia mwanamke mwenzio unatokwa mipovu ebu kuweni na upendo basi na nyie..!
Tunapendana sana tu ila sio kwahayo mtufanyiayo...

Yani uhonge kimada huko nje then uchekelewe na ndani useme huna hela?
 
Bojoooo nimemtamaniaje!!!!!
Hongereni sana

Evelyn Salt ,
Iweee, maweee!!

Ahsante.
Shukurani pia kwa mama na baba yangu (wazazi) waliniambia ,,, mwanetu, ili ufanikiwe "make you're wife to be only and a true friend to you.

Basi, nikampata mrembo kutoka Tanga nikafanya nilivyoelezwa.
Sijawahi kujuta, we have a tremendous life.
 
Hakika mkuuu...watu weng wanashindwa maisha ya ndoa ..sababu wamekua na hofu juuu ya Wenza wao.


Niwanamme wachache wanaotambua Siri km yako .

Vladimirovich Putin ,
Mkuu,
Ndoa na urafiki halisi wa mke na Mme unajengwa na mambo mengi sana.

Hicho nilichokutajia (comments namba # 213 na namba # 233) ni moja wapo ya sababu kati ya nyingi.
 
Back
Top Bottom