iJamii
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 1,954
- 1,504
Kwani wewe c unakula kwake bure na anakuhudumia kila kitu sasa shida ipo wapi? Nakushauri pesa irudishe hiyo labda kashaipangia mambo mengine ya maanaNi bora kipigo kuliko kurudiaha hii pesa wanaume sijui mkoje mnaona bora vimada kuliko wake zenu