Hivi wanaume huwa mnawaza nini

Hivi wanaume huwa mnawaza nini

Vladimirovich Putin ,
Mkuu,
Ndoa na urafiki halisi wa mke na Mme unajengwa na mambo mengi sana.

Hicho nilichokutajia (comments namba # 213 na namba # 233) ni moja wapo ya sababu kati ya nyingi.
Nikweli Mkuu Poise ,, ila inamhitaji MTU aliyeserious kujua sababu zote , ila kwahali inayoendelea sasa , sijui hatima yetu itakua nini !.
 
Kwanza jifunze lafudhi, Jina lako zuri alafu unaliharibu mwenyewe... Latifa ...ukiliita tu unaskia raha....sasa Ratifa ndo nn...jifunze kidogo kidogo kutumia R na L sawa dadangu...mfano hatuna neno Taraka tumia neno Talaka...yaan ukiweza hivyo hata huyo mpenzio ataachana na michepuko yake anayoihonga...Thanks...
 
Kama we ni mwizi chukua. ILA kama sio rudisha. We unaonekana msharishari sana ndo mana hakupi hela. Halafu kisa cha kushika simu ya mumeo unatafuta nini? Hilo kosa acha siku nyingine. Ungemuomba kistaarabu angekupa tu. Labda kama hajakuoa bado.
 
Nikweli Mkuu Poise ,, ila inamhitaji MTU aliyeserious kujua sababu zote , ila kwahali inayoendelea sasa , sijui hatima yetu itakua nini !.

Vladimirovich Putin ,
Mkuu,
Hatima daima hutengenezwa na kuamriwa.

Jukumu Letu tuliofanikiwa ni kuwafundisha hawa vijana wengine waelewa kuwa mke ni mtu wa muhimu kama walivyo wazazi au walezi na watu wengine tunao waheshimu sana...

Atakaye kubali atapona , anayekataa ataangamia.

Hamna namna, bali ni ushauri ambao ni "Black and white" kuwa mpende , mheshimu na mfanye mkeo awe rafiki yako wa kwanza maishani.

That's the key na mengine mengi tu.
 
Mimi nimekuelewa mkuuu ,,nanikikili ktk kabati langu LA maarifa ,umeniongezea vitu sumu sanaa !!!!.

Big up kwako mkuu Poise !!.
 
Adam akampewa 'hawa' sasa unapingana na vitabu vitakatifu una kichaaa
 
Hizi mambo Zenu za usawa ...zitaendelea kuongeza Idadi ya Single mother / nawanaopewa talaka mpaka mtahisi Shetani ni mbaya kumbe WAPI!!!.

Mwanamke mwenye hekima ajuaye ndoa nini huwezi kumshauri mwenzako namna hii....Wanawake Wa Dar ...

Unless mtoa mada na wewe ni Vimada !!!.
Wanawake hawapendani
 
Kwanza inatakiwa umshukuru anakujali kati ya 500,000 alizokuwa nazo katoa 100,000 kabaki na 400,000 kwa ajili yako bado unakwapua tena.wanawake Mungu anawaona.
 
Yaani leo ndio nimechoka na vitimbi vya wanaume mimi nimejikuta nipo tayari anipe taraka lakini si kurudisha hizi pesa.

Kisa kipo hivi katika heka heka za kushika simu yake nimekuita muamala nikautilia shaka kumbe ni kweli amemtumia pesa kimada chake laki moja.

Nilichoamua kufanya Mimi nimemkombea lakin NNE zote zilozo kwenye suruali yake najiandaa na Mimi kufanya yangu. Wakuu nitakuwa nakosea haiwezekani nje aonge alafu kwangu ajifanye kila siku hana.

Neno lake la mwisho asipoikuta pesa yake akirudi nitakiona cha mtema kumi. Nahisi na Mimi nipo tayari kwa lolote lakini si kuirudisha hii pesa.
Huo ni wizi mwenzio alitumia technique mpaka akapewa hiyo Lak moja, ukiiba hizo laki nne na ukapewa talaka hizo hela zitakusaidia kupoza hayo maumivu? Lak nne nayo pesa? Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, matumizi aliyokuhudumia huyo mume wako hayazidi hiyo laki nne? Au hiyo lak moja aliyopewa mwenzio imekuuma acha uchoyo eboo
 
Kwanza inatakiwa umshukuru anakujali kati ya 500,000 alizokuwa nazo katoa 100,000 kabaki na 400,000 kwa ajili yako bado unakwapua tena.wanawake Mungu anawaona.
Akili zake ndogo sana anaona lak kubwa
 
Evelyn Salt ,
Iweee, maweee!!

Ahsante.
Shukurani pia kwa mama na baba yangu (wazazi) waliniambia ,,, mwanetu, ili ufanikiwe "make you're wife to be only and a true friend to you.

Basi, nikampata mrembo kutoka Tanga nikafanya nilivyoelezwa.
Sijawahi kujuta, we have a tremendous life.
Wabarikiwe wazazi waliokulea kuwa MWANAUME, wenzio wengi wamekuwa jinsia ya kiume tu siku hizi.
 
Back
Top Bottom